Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

naona my to-do list imechafuka kwa edits, seems i am not a good planner or there is no need to plan here... coz i donest work

pia naona mjusi ukutani hapa ofisini

huyu baby wako atakuwa the sky eeh?

hahaha, kwani sky ndo iko 360 degrees tu? Ebu kuwa honest bana

AK 47 ya kudusulia majambazi kama wewe, naogopa kuibiwa kama ashadii. ila wakati wa emergency za mafuta naitumia kutishia wauzaji, mabosi wao na serikali

wareva.........

Habari wana JF….

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…)

na pia mlolongo wa kazi na majukumu…

Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/

jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu

Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…

any thing’ Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Nkigeuka nyuma naona uji mezani,aaaah kumbe muda wj kufturu umefika,ngoja niende kWa jirani

Big screen;

Mario P ..insisting ... No Anger ..No Threat ..Reasoning is the best!!

ha ha ha.... Umesahau la muhimu kwake daima.... Always protect family....lol...

Naamini kabisa you are enjoing....

Hahahhaa! Pole sana AshaDii! Mbwa akitaka kumwaga majitaka anafanyaje?

aaaiiiseee!!! Papa M wee unaniambia mda ule ulikua na pci inje?? au ilikua via dirisha? lol

naona my to-do list imechafuka kwa edits, seems i am not a good planner or there is no need to plan here... coz i donest work

pia naona mjusi ukutani hapa ofisini

Maisha yetu ya kiswahili... to do list ni moja tu ya njia ya kuorodhesha
ya kufuatilia whenever possible... for hatuishi in isolation, mara vifo, mgonjwa, dharura kibao....

Nkigeuka nyuma naona uji mezani,aaaah kumbe muda wj kufturu umefika,ngoja niende kWa jirani

ha ha ha.... Ukitoka huko... uje upate sunah hapa....lol

namwona wife kesha chapa ucngz mi bado ni jf, lol ngoja nkapate joto.g9t

namwona wife kesha chapa ucngz mi bado niPo jf, lol ngoja nkapate joto. g9t people

Back
Top Bottom