Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Poleni sana kwa Msiba huo! Mwenyezi Mungu akupeni subira na uvumilivu.
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

polee inauma sana,
 
Pole sana mkuu. Mola awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mkuu.
Wakati nikiwa kuleTanga ikitokea mama kajifungua na mtoto huyo akafariki muda mfupi baada ya kuzaliwa walikuwa wakisema, mama kajifungua lakini mtoto si riziki wakimaanisha amefariki...
Sina uhakika kama bado wanatumia neno hilo maana watu wamelipotosha sana na linatumika sivyo kabisa.

Pole sana ndugu yangu inauma sana lakini ndiyo mapenzi ya Mwenye enzi Mungu
 
Poleni sana, mungu awape nguvu katika kipindi kigumu.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.

Pole sana mkuu Rweye ... kwa kweli vifo vya watoto wachanga na vifo vinavyohusiana na uzazi kwa kina mama vimekuwa changamoto kubwa sana kuvipunguza, na wala hatuko katika spidi ya kufikia malengo ya milenia katika hilo. Tunahitaji kufanya zaidi...serikali, wadau wa maendeleo, waume kwa wake, kila mmoja!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom