Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

Poleni sana wafiwa. Mungu awatie nguvu ktk kipindi hichi cha majonzi.
 
sasa wewe MTAZAMO unapolike hii tukueleweje????
 
Last edited by a moderator:
Pole. Kuweni wajasiri kwa kukubali matokeo. Mtajaliwa kupata mtoto mwingine.
 
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu....sote njia yetu ni moja...
 
Pole sana Rweye mungu akupe ujasiri wewe na shemeji yetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka!!!!!!!

Umenikumbusha huo uchungu, nilipigiwa simu na kupokea kwa hamu nikijua naambiwa jinsia ya mtoto kumbe daaaanh!!!!!!
Muumba mbingu na ardhi awape faraja na uzao mwingine bora zaidi...............pole kwa wote waliowahi kupitia hili pia!!!!:angel::angel:😛ray2:😛ray2:
 
innalillahi wainnailaihi rajiun...poleni sana!
 
Pole sana kaka M/Mungu
Awape uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwenu.
 
Back
Top Bottom