Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

01.JPG

Just googled the name, atakuwa ni huyu i guess
khaaaaa.....
Hawa wasitutanieee...
Mfuko wa sument unabeba km umeshika hundi, half umetabasamuu.....?

kwa huyu marehemu...Hainihitaji...
Kumfahamu...
Kujua ID yake...

Ihitaji ubinadamu tuu...
Kusema...

R.I.P
 
Mkuu kutaja ID sio busara ni kama kumvua nguo marehemu.
Hakuna niliposema ataje ID ya marehemu kwa sasa maana tayari keshataja jina halisi. Nimesema tu approach aliyotumia hajatendea haki wana JF. Kwa ID hizi za JF tuna marafiki wengi humu.....mimi nipo humu tangia 2008 ingawa hatujuani kabisa majina halisi ! Hakuna haja ya kutaja jina halisi la marehemu humu (huyo Straton Mushi mimi na wewe hapa JF hatumjui kabisa). Yeye (mleta mada) angetuletea taarifa kuwa mwanJF mwenye ID fulani (say SMU) amefariki (bila kudisclose jina halisi la huyo SMU maana hapa JF jina halisi halina maana yoyote). Kutaja ID (bila jina halisi) ingekuwa na impact kwa hapa JF kuliko kutaja jina halisi (ambalo hatulijui) bila ya ID. That is my point.
 
Hii Itakuwa thread ya hovyo kuliko zote weekend hii
Sema tu moja kwa moja au nikunyooshee kiswahili. Mleta mada ni hovyo kuliko hata mada yenyewe. Utambukisho wake humu ni ID aliyokuwa anatumia halafu unaleta taarifa za jina kamili ambalo hatuna uhakika nalo kama kweli mwana jf anaitwa Mush. Kibusara angetoa taarifa za huyo ID user atakayehitaji kutoa pole za kipekee kwa familia husika ndo angefukunyua kujua hiyo ID ni ya nani. Ila huyu mleta mada haoni kuwa uwezo wake wa kupambanua hoja ni mdogo zaidi ya majibu yaliyojaa sombo humu ndani.
 
May be upo sawa, lkn kama ndo hivyo basi hakukuwa na haja ya kutoa taarifa kwamba mwanajf kafariki wakati hatumjui. Ni mtazamo wangu
Kuna umuhimu mkuu. Kuna umuhimu kwa sababu ametoa Jina lake halisi na sehemu ya mazishi. Walio karibu watajua huyu ni member mwenzetu. Na walio mbali watatoa salam za rambirambi hapa hapa jukwaani. Kama mtu hakutaka kujianika akiwa hai basi anapofariki siyo vizuri kum'expose
 
Haya sawa.
 
Kumbe alikuwa ni member mfu basi sawa alale mahali anakokustahili
 
Sema tu moja kwa moja au nikunyooshee kiswahili. Mleta mada ni hovyo kuliko hata mada yenyewe. Utambukisho wake humu ni ID aliyokuwa anatumia halafu unaleta taarifa za jina kamili ambalo hatuna uhakika nalo kama kweli mwana jf anaitwa Mush. Kibusara angetoa taarifa za huyo ID user atakayehitaji kutoa pole za kipekee kwa familia husika ndo angefukunyua kujua hiyo ID ni ya nani. Ila huyu mleta mada haoni kuwa uwezo wake wa kupambanua hoja ni mdogo zaidi ya majibu yaliyojaa sombo humu ndani.
Unakasirika kwa jambo lisilohitaji hasira. Am,efanya busara ya hali ya juu.
 
Jamani nipate mchango Kwani me ni mama au mke wa marehemu?? Kuna mahali nimeomba hata Mia?? Kama marehemu mwenyewe akiwa hai hakupenda kuw verified why Mimi nifanye hivyo?? Asee ile familia ni tajiri haina shida hata na Mia ya mtu. Na Mimi Wala sio ndugu wa familia Bali ni rafiki tu.
NIKOME.
Sasa kiherehere cha kuleta habari unakitoa wapi kama taarifa za msingi walau hata I'd yake umeficha....ungekaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom