Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
R.i.p...
Jana tu aliibuka na bandiko la mambo ya allergy, anyway pole MtambuziKumbe ulikuwa unauguza ndo maana sijaona masomo yako ya ukweli jukwaani?Pole sana mkuu Mtambuzi.mwanaume ni kuvumilia, so ni muda wa kujikaza sawasawa na kujipanga ili mama mkwe wako apumzishwe katika usingizi wa kitambo kidogo maana parapanda italia na hao waliokufa hawatawatangulia walio hai kumwona mwana wa Adam arudipo mara ya pili kuwachukua wateule.
Mkuu Mwita Maranya... asante sana kwa taarifa hizi.
Pole sana Mkuu Mtambuzi, msiba ni msiba, na mama mkwe ni mama!.
Naupokea msiba wako nikijifikiria situation ya mimi nilivyo kwa wakwe zangu, inawezekana macho yote ni kwako!.
Naomba tuwekee number ya M-Pesa ili wale watakaoguswa na pole zaidi ya hii ya keyboard, tukupe!.
Pasco.