TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

pole sana ndugu Mtambuzi, sikulijua hilo jana niljaza autograph ya sakapal kwa masikhara kumbe chifu umepatwa na matatizo! Mungu amlaze pema mama Mkwe na akupe nguvu wewe na mama Ngina mvuke kipindi hiki kigumu kwenu!

Nimerecall zile thread zako za ugonjwa wake na matibabu ya kusua sua pale MNH, pole sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom