Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, apumzike kwa amani...
"Bwana alitoa, na Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Amina"
R.I.P mama yetu.
"mkuu Mtambuzi' Mungu Awapeni nguvu ktk kipindi hiki kigumu"
TUNAOMBA; TAFADHARI KAMA KUNA JINSI YA KUTOA RAMBIRAMBI, AMBAO TUKO MBALI NA ARUSHA, TUJUZENI...