TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

Pole sana Mtambuzi, Mungu mwenyewe anajua kwa nini imekuwa hivyo. R.I.P mama yetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi, faraja ya Mungu na mkono wake usiwapungukie hasa wakati huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
Pole ndugu sote ni wa Muumba na kwake tutarejea... RIP mama mkwe wa Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Pole Kiongozi ntaungana na nyie huko kesho nakuja mitaa hiyo....
 
Mkuu Pole sana pamoja na familia yako kwa ujumla, Ni maombi yetu Mungu akawape faraja na kuwaimarisha kpindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.

Twawatakia kheri na mmalize salama.

POLENI SANA.
 
pole sana mtambuzi. Bwana wetu atakutia nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole nyingi kwa ndugu yetu Mtambuzi Mungu awatie nguvu yeye na familia kiujumla
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi pamoja na familia yako.
Mpe pole my wife wako kwa kuondokewa na mama, Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
RIP mama mkwe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom