TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

Pole sana Mkuu Mtambuzi na familia nzima. Nakumbuka tulikuwa na mjadala mzito sana hapa jamvini wakati mama alipokuwa amelazwa Muhimbili. Mungu ni mwema sana na kazi yake huwa haina makosa. Najua kuna nafasi ya malaika Mlinzi ilikuwa wazi na Mungu akamteua Mama yetu mpendwa kuziba Hilo pengo Peponi.
Mungu awaongoze katika kipindi hiki cha majaribu na awatie faraja na Roho ya Imani. R.I.P Mama.

Poti Maranya Asante sana kwa taarifa.
 
Pole sana mtambuzi bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
 
Ni kipindi kigumu kwa mzee Mtambuzi na familia kwa ujumla. Mungu awape ujasiri na uvumilivu pia. Poleni sana. Natumai wana Jf tukiongozwa na wana Arusha wing tutakuwa pamoja katika kila hatua. Ahsante kwa taarifa Mkuu Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Salam za pole zikufikie ndugu mtambuzi
kumbuka kifo kimeumbwa na kila mja atakionja
uwe na subira wewe na familia yako
 
RIP MAMA MKWE. Mungu awape faraja na nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Mtambuzi, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe.

Mkuu Mwita Maranya umesema mipango ya mazishi itafanyika field force Arusha mpaka mwili unatetemeka. Yaan naangalia kucha zangu mara mbili mbili
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi , Nawaombea kwa Mungu asiwaache katika kipindi hiki cha majonzi..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi Mungu akutangulie mbele kwenye hiki kipindi kigumu cha msiba wa mama yetu
 
Mtambuzi N.a. familia poleni sana na msiba was mama
RIP mama mkwe
 
Mtambuzi pole sana naamini kabisa utapata ushirikiano wa kutosha kabisa katika kumhifadhi mama mkwe hiyo siku ya tarehe 03.05.

Cc Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi kwa kufiwa, alazwe mahali pema peponi mkwe amen.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtambuzi poleni sana . R.i.p mama mkwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom