TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

TANZIA: Mtambuzi Apata Msiba

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Mungu awape subra ndugu,jamaa na marafiki. Leo hii ni mkwewe Mtambuzi,kesho kama si leo pia ni mimi na wewe!
 
Too bad!
Pole sana Mkuu Mtambuzi.
Tuko pamoja, na tunamwombea sana Mama Yetu apumzike mahala pa salama!
 
Last edited by a moderator:
I understand that it is a rough time that you are going through. Just want to say that I am right here for you and will pray to God so that you can handle it well. R.I.P mother in low.

NB Mwita Maranya hizo sim mbona hazipatikani? na Mtambuzi. nae hapatikani
 
Ndugu wanaJF Salam,

Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba mwanaJF mwenzetu ndugu Mtambuzi amefiwa na mama mkwe muda mfupi uliopita.

Mama mkwe wa Mtambuzi amefikwa na mauti akiwa amelazwa katika hospitali ya St. Thomas iliyoko jijini Arusha.

Tutaendelea kufahamishana juu ya taratibu za mazishi. Kwa members wa JF mlioko Arusha support yenu katika kipindi hiki ni muhimu sana.

Natoa pole kwa Mzee Mtambuzi pamoja na familia, ndugu jamaa na marafiki wote waliofikwa na msiba huu. Mungu awaongoze na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi.

UPDATES:
Mipango ya mazishi inafanyika Field Force (FFU) Arusha na maziko yanatarajiwa kufanyika upareni, Mamba Miamba siku ya Ijumaa tarehe 03/05/2013.

MORE UPDATES:
Kwa wale ambao wangependa kuuungana na familia ya mzee Mtambuzi katika msiba huu kwa njia ya rambirambi, tafadhali tumieni namba zifuatazo; Tigo-Pesa 0715 729292 na M-Pesa 0752 729292
Mwita asante kwa taarifa! MTAMBUZI pole sana big bro , ndio safar ya kila aliye hai lazima ataonja umauti tena tutarudi mavumbini, POLE SANA BROTHER
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Mtambuzi kwa msiba mzito, Mungu awape ujasiri na moyo wa subira. R. I. P mama yetu.
 
Back
Top Bottom