Mkuu Mwita Maranya, asante nimekupata, namuandalia pole yake na kuahidi pia nitaheshimu name calling maana ukutuma tuu jina linakuja!.Mkuu Pasco nimekupata shemeji.
Kwa wale ambao wangependa kuuungana na familia ya mzee Mtambuzi katika msiba huu kwa njia ya rambirambi, tafadhali tumieni namba zifuatazo; Tigo-Pesa 0715 729292 na M-Pesa 0752 729292.
hizi namba ni kwa ajili ya kutuma pesa tu?Mkuu Pasco nimekupata shemeji.
Kwa wale ambao wangependa kuuungana na familia ya mzee Mtambuzi katika msiba huu kwa njia ya rambirambi, tafadhali tumieni namba zifuatazo; Tigo-Pesa 0715 729292 na M-Pesa 0752 729292.
hizi namba ni kwa ajili ya kutuma pesa tu?
kama unataka kumpigia na kumpa pole pia inaruhusiwa?
Mkuu Mwita Maranya, asante nimekupata, namuandalia pole yake na kuahidi pia nitaheshimu name calling maana ukutuma tuu jina linakuja!.
Ila huu ushemeji ni wa upande upi?, maana sisi kanda ya Ziwa huwa tuna misururu!, na utajiri wa madada sii haba!, familia zenye watoto wachache ni zile za watoto 8!.
Pasco
hapo kwenye NB tafadhali naomba unitake radhi...... yaani mimi kabisa ni-deep? tafadhali....Hahaha FP mbona unanichekesha msibabi!?
Rambirambi si lazima iwe fedha taslimu, hata kumpigia simu na kumpa maneno mazuri ya faraja na kumpa moyo ni rambirambi tosha.
NB: hairuhusiwi na haikubaliki ku-''deep''!