Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
katiba ya chadema unayo izungumzia ni hii ambayo mbowe na slaa wamenyofoa vipengele au kuna katiba nyingine ya maana chadema. cc mwita malanya
Hii nayo unalipwa?Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
lakini mkuu, kutoka na mkutano wenu wa ndani uliofanyika mapema mwaka huu si mlikubaliana kuwa chaguzi za jumuiya zoote zifanyike mwaka huu?!Hivi huwa mnapata muda wa kuisoma katiba ya Chadema na kuielewa ama huwa mnakurupuka kuandika tu ili muonekane mpo? Mara ngapi tunawaambia hapa kuwa kikatiba Chadema inatakiwa kufanya uchaguzi mwaka kesho 2014 lakini kila kukicha mnarudia ngonjera zile zile za siku zote za ukabila na udini ambazo hazina tija yoyote.
Kosa la mtu mmoja kukiuka na kuvunja katiba haliwezi kumfanya asiguswe kwakuwa tu wanaccm mtaendelea na wimbo wenu wa zilipendwa.
Na hii haiwezi kufanywa agenda dhidi ya wana Mara au wana wa kanda ya ziwa kwakuwa bado tunao viongozi wengi tu toka pande hizo ambao ni waaminifu kwa chama.
​Mhe. sana CHOO, oh! samahani MSALANI hebu tujuze ratiba ya kazi ya CHADEMA kwa mwak huu na ujao kabla ya 2015!Kweli kabisa Mkuu, watu ambao hawaamini katika ushindani, si watu wema, siku zote CHADEMA wakishindwa WAMEONEWA, wakishinda, HAKI IMETENDEKA! chaguzi zote walizowahi kushiriki, wakishidwa wao ni malalamiko ya kuibiwa kura, wakishinda, utasikia NGUVU YA UMMA imeongea! Mungu tuepushe na hili Jinamizi!
Mkuu kwa sasa hiki ni chama cha maruhani chadema kimekuwa kama timu za mchangani kila mchezaji anakwenda na jiwe,panga,kisu hala timu moja ikizidiwa zinapigwa ndivyo chadema kilivyo sasa na bado tutaona mengi sana.Kweli kabisa Mkuu, watu ambao hawaamini katika ushindani, si watu wema, siku zote CHADEMA wakishindwa WAMEONEWA, wakishinda, HAKI IMETENDEKA! chaguzi zote walizowahi kushiriki, wakishidwa wao ni malalamiko ya kuibiwa kura, wakishinda, utasikia NGUVU YA UMMA imeongea! Mungu tuepushe na hili Jinamizi!
Hii nayo unalipwa?
Hakuna uoga hapo ni
ubabe tu kwa sbb chama ni cha wachaga,walipatq taarifa kwamba watu wa
kanda ya ziwa wamejipanga kwenye uchaguzi na hasa kutoka mara wakaona
wasiufanye,na sasa wameanza kuwashughulikia mmoja mmoja!!!
kuna shutuma zilizoshushwa na Lema kwa Zitto, na yeye mwenyewe akaomba mwenye ushahidi wa tuhuma hizo dhidi yake autoe. Kuna ushahidi umemwagwa humu jinsi mapesa ya serikali yalivyohamishiwa kwa Zitto kwa lengo la kuiua CDM, kabla hata hatujapata upande wa pili wa story, mods wameitia kapuni thread. Sitaki kusema shutuma zile ni za kweli au ni za uongo, lakini kama ni za kweli, utashindana vipi na mtu mwenye ukwasi usio kikomo kwa udhamini wa serikali?
Kama chama hiki cha Baba yako au Mama yako ndo utakiendesha kama utakavyo,kinyume cha hapo tutakutimua na kukupa kichapo.
inabidi ujifunze kiswahili kwanza halafu somo linalofuata ni kujifunza namna ya kujenga hoja.
fomu za kugombea uenyekiti zilikuwepo hakuna mtu aliyekukataza usigombee na pili hakuna kitu kinaitwa uchaguzi
wa kiongozi wa upinzani bungeni na kama kipo basi kibibi mtu ndio angekuwa mtu wa kwanza kulieleza hilo na siyo wewe.