Waliokuwa wanakashifu na kumtabiria kifo lowassa akiwa ikulu sasa wamefika 3 ambao wao wametangulia ndani ya mwaka mmoja!Uhai na afya ya mtu ni vitu viwili tofauti...hujawahi kuona wagonjwa wamelazwa hospitalini lakini wenye afya njema wanakufa kwa ajali n.k?
Kwanini ufutwe
Asante sana mkuu kwa kumuelezea kidogo nilikuwa na mshangao tu hapa huyu mtu namfahau alikuwa mtumishi wa umma ila background yake chuoni Tumaini University alipenda sana siasa,,, najiuliza lini aliacha utumishi serikalini akaingia kwenye siasa? By the way baadhi ya wakuu humu ndani si waungwana mana wanaponda hata marehemu,,,, jamani kama alimtusi EL basi yaishe Mwenye Mbingu na Dunia amechukua chake! Jina la bwana lihimidiwe! Amen.Peter Kihose my classmate tukiwa chuo Tumaini University Iringa nikabahatika kufanyanae kazi kwa Siku moja Njombe akiwa kama Afisa biashara RIP
Kwa nini wanakufa wale tu waliomsema vibaya EL ila wanafahamika katika jamii yaani ni rahisi kutafutwa wakafikiwa.? Ni vyema watu watafakari kabla ya kujiingiza kwenye siasa za mihemko kichwa kichwa,,,,,, kuna mambo hayako yanatia shaka sio Mungu big no! Anyway Kalihose kawasalimie Mh Mtikila na Mh Filikunjombe na wengine wengi,,,,, tutakumiss sana,,,,, byeee...afe tu hamna namna yaani nkisikia ni mwana ccm roho inaniuma ndo waliotupa shida hawa
Ogopa sana kukashifu mwelekeo Wa uzima Wa mtu yeyote. Hatima ya mtu anaijua Muumba wake, tusiwe wepesi Wa kukashifu wagonjwa, walemavu, maskini au wenye hali duni. Mungu anatuona.
Kwa hiyo siasa ianruhusiwa ktk ungonjwa. Ifike mahali tuache unafiki[emoji120]
Matusi yake kwa wenzie ndio yamemponza. Acha afe yeye maana alishangilia sana magonjwa ya wengine huku akiwatabiria vifo. Na bado.Alale mahala pema peponi
Na bado na wewe utakufa umuacheKwa sab afya ya lowassa ni tete nchi nzima wanajua lkn udhaifu wa afya yake hauzuii watu wengine kufa hata kama wana afya njema na kufa kwa waliomtabiria kifo hakubadilishi utete wa afya ya fisadi papa lowassa.
Mie ni kiumbe kama yeye kufa ni lazima mwenye kujua nani atatangulia ni munguNa bado na wewe utakufa umuache
Hiyo ndiyo njia pekee ya kumuenzi. Kama maisha take yalikuwà ni kutukana. Wenzake basis hayo yanavyowekwa ndiyo kumuenzi. Aende kuwatukana atakaokutana nao Mbinguni au Akhera. Yaani kujifanya mjanja kote, ndiyo kaondoka kwa magonjwa hayo?? Inahuzunisha lakini inachekesha pia. Abhatashe yagendaMatendo yetu ya hapa duniani yanatokana na uhai ambao mungu anatupatia inapotokea mungu kaondoa pumzi yake kinywani mwetu basi huwa ni mwisho wa mtembeo wetu kwenye sura ya dunia hivyo ni vyema tusijihesabie haki kisa aliyetangulia mbele yetu alitenda vibaya
Kufeli kwa aliyembele yako hakukuthibitishii ushindi uliye nyuma yake,Yeye alishindwa kutumia busara zake vizuri,haina maana nyie mlioitumia wakati huo mtaitumia wakati wote,kuweni wastaarabu hizo post zake za FB zilishapita,kuzibandika hapa tena ni utoto kwa nini alivyokuwa hai hamkuzibandika ili naye angelipata wasaa wa kuzitetea hoja zake.
Tehetehetehe tupe tupe, namba inasomwa vizuri Sana!Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.
Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.
Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.
Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.
Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
Daaa, mkuu hilo jina lako kwa KIHA, ni tusi kubwa sana.Ha ha ha KALIHOSE,
Watu kama hawa huwa hawahitajiki duniani,unawezaje kumfananisha binadamu na nyumbu na huku ukilitaja jina la MUNGU kwenye upumbumbavu?binadamu tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU na hakuna mahali kwenye vitabu vitakatifu palipoandikwa kwamba wanyama wa mwituni wameumbwa kwa mfano wa MUNGU,kwa nini umuhusihe MUUMBA na upumbavu wako wa ushetani ccm?nani asiyejua kwamba ccm ni mashetani?wanaua,wanateka,wanafiki na wachochezi.
Wote tutakufa lkn ni vema kabla hujafa ujisahihishe na uchunge kinywa chako maana unaweza kushangiliwa ukifa badala ya watu kuumia kwa mema uliyotenda.
Sasa anyewaita wenzao nyumbu amekuwa zaidi ya nyumbu maana ataliwa na funza kwanza kabla ya hao aliowaita nyumbu.
"Lowasa amejinyea,lowasa ni mfu,lowasa atafia ikulu tusimpe nchi,na wengine kumtukana kwa kupiga push up ili kutuonyesha wana nguvu kuliko muumba kumbe vifo vyao vipo mlangoni."
Tupendane na tuheshimiane maana kifo hakina ubabe.
Swelana.
Ficha upumbavu wako utaonekana una hekima...Kwa sab afya ya lowassa ni tete nchi nzima wanajua lkn udhaifu wa afya yake hauzuii watu wengine kufa hata kama wana afya njema na kufa kwa waliomtabiria kifo hakubadilishi utete wa afya ya fisadi papa lowassa.