Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
jf hakuna msiba kweli hebu tumjue maana huko fb ni mitusi kwa kwenda mbeleUlale salama kada. Humu JF anaitwa........
Mzee Tupatupa
jf hakuna msiba kweli hebu tumjue maana huko fb ni mitusi kwa kwenda mbeleUlale salama kada. Humu JF anaitwa........
Mzee Tupatupa
Kama kila mtu atakufa maono yake ni uselessAtakufa lkn lazima maono yake yatimie hapa duniani
Kuna bandiko la Yeriko Nyerere la kumkashifu Lowassa na ugonjwa wake...Kwa taarifa tulizonazo ni kwamba ndugu na rafiki yetu Peter Kalihose hatunaye tena.
Peter Kalihosekwa taarifa za awali zinadai kuwa kilichomuua ni Ugonjwa wa Kisukari huko Kampala nchini Uganda.
Taarifa za awali zinadai pia kuwa mwili utasafirishwa toka Uganda hadi Kasulu mkoani Kigoma.
Tunaendelea kufuatilia zaidi kupata habari za uhakika za Kada huyu machachari wa Chama cha mapinduzi.
Njia yetu ya kumrudia Mola ni Moja tu kwake leo kesho kwetu....
Rest in Peace Peter.
Note : HUYU NI MOJA YA VIJANA WALIOKUWA WAMEAJIRIWA NA CCM KUWAKASHIFU VIONGOZI WA UPINZANI MITANDAONI HASA KULE Facebook NA KUDIRIKI KUTOA MATUSI YA NGUONI HADHARANI PASIPO WOGA KWANI WALIKUWA WANALINDWA MAANA HAWAJAWAHI KUCHUKULIWA HATUA ZOZOTE PAMOJA NA KUWEPO NA SHERIA YA MTANDAO.
View attachment 455014
Moja ya bandiko lake huko Facebook akimkashifu Mhe Edward Lowassa
![]()
Note 2 : Sishabikii wala sifurahii kifo.
Chanzo : Thadeo Ole Mushi (Kada wa ccm)
Hapana ila anaejua atakae ondoka Leo, kesho,au siku ijayo ni Mungu tu kwa hiyo tumwachie yeye ktk mambo ya uhai wa mtuKwahiyo mungu kamuadhibu?
note 3 huku jf alikuwa anatumia id gani tuitukane kabla hajafukiwa?Kwa taarifa tulizonazo ni kwamba ndugu na rafiki yetu Peter Kalihose hatunaye tena.
Peter Kalihosekwa taarifa za awali zinadai kuwa kilichomuua ni Ugonjwa wa Kisukari huko Kampala nchini Uganda.
Taarifa za awali zinadai pia kuwa mwili utasafirishwa toka Uganda hadi Kasulu mkoani Kigoma.
Tunaendelea kufuatilia zaidi kupata habari za uhakika za Kada huyu machachari wa Chama cha mapinduzi.
Njia yetu ya kumrudia Mola ni Moja tu kwake leo kesho kwetu....
Rest in Peace Peter.
Note : HUYU NI MOJA YA VIJANA WALIOKUWA WAMEAJIRIWA NA CCM KUWAKASHIFU VIONGOZI WA UPINZANI MITANDAONI HASA KULE Facebook NA KUDIRIKI KUTOA MATUSI YA NGUONI HADHARANI PASIPO WOGA KWANI WALIKUWA WANALINDWA MAANA HAWAJAWAHI KUCHUKULIWA HATUA ZOZOTE PAMOJA NA KUWEPO NA SHERIA YA MTANDAO.
View attachment 455014
Moja ya bandiko lake huko Facebook akimkashifu Mhe Edward Lowassa
![]()
Note 2 : Sishabikii wala sifurahii kifo.
Chanzo : Thadeo Ole Mushi (Kada wa ccm)
Unajifunza nini?Kama kweli ndiye yule wa Facebook tuna la kujifunzaa !
Ee Bwana Mungu,Tunakuomba uturehemu !
Hapa hakuna mji
OKKama kila mtu atakufa maono yake ni useless
Kwahiyo imemkost kumtabiria kifo fisadi lowassa? Kifo chake ni adhabu ya kumtabiria kifo lowassa?Dah...waliojiamini ni wazima wanakufa wanawaacha waliowahisi ni wagonjwa.hii dunia usipoishi kwa akili ukikitizama kinywa chako unaweza ukanena yasiyo mazuri baadae yakaku-cost.
Ndiyo..Kafa yeye
Huyu ndiye akijiita mzee tupa tupa wa Lumumba?Ulale salama kada. Humu JF anaitwa........
Mzee Tupatupa
Ha ha ha KALIHOSE,Na hiyo hapo chini ndo post yake ya mwisho FB
Peter Kalihose
December 11, 2016 at 12:56pm ·
Unapokuwa umekufa hujui chochote wala husikii maumivu, wale walio hai ndio hubeba maumivu ya kifo chako....
Hiyo ni sawa sawa na pale unapokuwa lichadema, huwezi kujua uzito wa upumbavu wako.....bali WanaCCM ndio siku zote wataumia na kusahihisha au kukabiliana na madhara yatokanayo na upumbavu wako...
Ukiwa lichadema, kamwe hutaona uchungu kwa mambo mabaya dhidi ya Taifa letu...
1...utashangilia rushwa,
2...utakumbatia wala rushwa,
3...utawaunga mkono wasaliti wa maendeleo,
4...utawabeba wahujumu uchumi 3...utawapongeza wanafiki...
5...utakuwa tayari kuwafia wapiga dili
Gharama za hayo yote zitakuja kulipwa na UZALENDO wa WanaCCM ambao watahakikisha MASLAHI YA TANZANIA yanalindwa, yanapiganiwa, yanatetewa na kuwekwa mbali na MIKONO YA WENYE HUSDA...
MWENYEZI MUNGU, HATUWACHUKII NYUMBU, TUNAJUA NI VIUMBE WAKO, TUNAJUA BILA WAO [HASHTAG]#MLISHANO[/HASHTAG] (ECO SYSTEM) USINGEKAMILIKA....LKN TUNAOMBA WAENDELEE KUWA NYUMBU...
CCM IDUMU MADARAKANI MILELE KWA MASLAHI YA TAIFA LAKO LA TANZANIA ULILPTUPATIA TUISHI...
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki CCM...
![]()
Chadema hawakuwahi sema Lowassa atakufa kesho.Kama una andiko lolote au ushahidi wowote leta hapaIngekuwa kumtukana Lowassa ndio sababu ya vifo leo CHADEMA kingebaki na ULIPO TUPO.
Kabla Lowassa hajaja CHADEMA alitukanwa sana na haohao wanaomuabudu sasa.
Akiba ya maneno na busara ya maneno ni muhimuKama kweli ndiye yule wa Facebook tuna la kujifunzaa !
Ee Bwana Mungu,Tunakuomba uturehemu !
Hapa hakuna mji
Alianza kuwapngelea wenzie badala ya kujihudumia afya yakeKwahiyo imemkost kumtabiria kifo fisadi lowassa? Kifo chake ni adhabu ya kumtabiria kifo lowassa?