TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Jera ni nusu gereza lkn kila siku unashabikia Lema kukaa Kisongo
Vipi wakati wanamuandika Lowassa kua mgonjwa na atakufa wakati wowote ulikua mchezo wa mpira au siasa
 
Ingekuwa kumtukana Lowassa ndio sababu ya vifo leo CHADEMA kingebaki na ULIPO TUPO.
Kabla Lowassa hajaja CHADEMA alitukanwa sana na haohao wanaomuabudu sasa.
Cdm walizungumzia matendo yake lkn hawakugusa afya yake. Weka ushahidi hapa walipogusia afya ya Lowassa
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
 
Anahangaika kusemea afya za wengine kumbe ye mwenyewe alikuwa ni maiti inayotembea
Ogopa sana kukashifu mwelekeo Wa uzima Wa mtu yeyote. Hatima ya mtu anaijua Muumba wake, tusiwe wepesi Wa kukashifu wagonjwa, walemavu, maskini au wenye hali duni. Mungu anatuona.
 
Na hiyo hapo chini ndo post yake ya mwisho FB

Peter Kalihose
December 11, 2016 at 12:56pm ·
Unapokuwa umekufa hujui chochote wala husikii maumivu, wale walio hai ndio hubeba maumivu ya kifo chako....

Hiyo ni sawa sawa na pale unapokuwa lichadema, huwezi kujua uzito wa upumbavu wako.....bali WanaCCM ndio siku zote wataumia na kusahihisha au kukabiliana na madhara yatokanayo na upumbavu wako...

Ukiwa lichadema, kamwe hutaona uchungu kwa mambo mabaya dhidi ya Taifa letu...

1...utashangilia rushwa,
2...utakumbatia wala rushwa,
3...utawaunga mkono wasaliti wa maendeleo,
4...utawabeba wahujumu uchumi 3...utawapongeza wanafiki...
5...utakuwa tayari kuwafia wapiga dili

Gharama za hayo yote zitakuja kulipwa na UZALENDO wa WanaCCM ambao watahakikisha MASLAHI YA TANZANIA yanalindwa, yanapiganiwa, yanatetewa na kuwekwa mbali na MIKONO YA WENYE HUSDA...

MWENYEZI MUNGU, HATUWACHUKII NYUMBU, TUNAJUA NI VIUMBE WAKO, TUNAJUA BILA WAO [HASHTAG]#MLISHANO[/HASHTAG] (ECO SYSTEM) USINGEKAMILIKA....LKN TUNAOMBA WAENDELEE KUWA NYUMBU...

CCM IDUMU MADARAKANI MILELE KWA MASLAHI YA TAIFA LAKO LA TANZANIA ULILPTUPATIA TUISHI...

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki CCM...

Alisahau kumuomba MUNGU ambariki na yeye.
 
Kwahiyo imemkost kumtabiria kifo fisadi lowassa? Kifo chake ni adhabu ya kumtabiria kifo lowassa?
Imeandikwa “USIHUKUMU MAANA HUKUMU UTAKAYOHUKUMU WEWE UTAHUKUMIWA KWAYO",mie kama kiumbe sina mamlaka ya kusema kwamba fulani ni mgonjwa fulani atakufa mwaka hamalizi!!!hiyo ni muumba na waja wake siasa fanyeni ila msizoee kuingiza afya za watu kwenye siasa kama na wewe ulimkashifu huyo mzee fanya ukamuombe msamaha ili usijekufa na dhambi hii ya kuhukumu kama mwenzako maana naamini kwa kiburi chake hakupatapo kumuomba msamaha.(haimaanishi ukishaomba msamaha hutokufa,kufa utakufa)
 
Alazwe Anapostahiri Maana Mungu Hana Upendeleo
 
Kumtabiria mtu kufa ni kumuhukumu? Na kufikwa umauti kwa binadamu ni hukumu?
 
pumzika kaka pumzika mfia chama pumzika mpenda nchi pumzika mzalendo pumzika rafiki na kada wa chama chama cha mapinduzi, sote tu waja wa mwenyezi mungu kwake tutalejea,,
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
Asante mkuu, poleni na msiba.

Mods tafadhali tusaidieni kupandisha hii taarifa kwenye thread ya awali.

Cc : JamiiForums, Rider, Mod 5
 
Huyu jamaa ni ndugu yangu na hivi ninavyoongea mwili bado haujafika Kasulu.

Inavyosemakana (bado hatujathibitisha wanandugu mapaka tuuone mwili wake ndio tutalithibitisha hilo) amejichoma visu mwilini kwa lengo la kujitoa uhai kwa sababu maisha ni magumu kwa upande wake.
Hizi habari za kujidhuru kwa kisu zimetolewa na mwanamke aliyekuwa akiishi naye huko Uganda.

Mara kwa mara alikuwa anapiga simu kwa kaka yake anaitwa Majaliwa Andrea Kalihose akimlalamikia kuwa maisha yamempiga sana kiasi anakosa hata namna ya kusonga mbele.
Pia kuna kipindi alikoswa koswa kuuawa na watu wasiojulikana baada ya kumkimbiza muda mrefu alinusurika baada ya kuingia kwenye vichaka.

Kabla ya hapo alikuwa ni mfanyakazi wa serikalini ila alivyoingia bwana Pombe madarakani alimtumbua huyu bwana kwa ubadhirifu katika ofisi yao. Baada ya hapo akaenda Uganda kutafuta maisha kwa njia nyingine.

Nikipata muda nitawapa update kwa jinsi tutakavyoupokea mwili wake.
Duh!kweli Pombe si Chai,yaani jamaa pamoja na povu lote lile kuitetea Pombe lakini bado ikamlemva na kumpotezea mwelekeo(akaisoma namba)!

M.A.P
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Hao siyo wanasiasa .Mwanasiasa yeyote hawezi kuleta siasa kwenye msiba wa mwenzio kwa sababu anajua yeye hatofanya siasa kama hana mpinzani wake wa siasa
 
Back
Top Bottom