TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Mungu aipumzishe nafsi yake kwa amani.

Kumbu kumbu zangu zinaonyesha huyu alikuwa ni Miongoni mwa wale waliokashifu Sana afya ya Mzee Lowassa. Lakini kwa kuwa Mungu si mwanadamu yeye ametangalia na Lowassa yu ngali Hai.

Funzo kwetu tuliobaki, siasa zisitutoe utu wetu.
Uhai na afya ya mtu ni vitu viwili tofauti...hujawahi kuona wagonjwa wamelazwa hospitalini lakini wenye afya njema wanakufa kwa ajali n.k?
 
Kwa taarifa tulizonazo ni kwamba ndugu na rafiki yetu Peter Kalihose hatunaye tena.


Peter Kalihosekwa taarifa za awali zinadai kuwa kilichomuua ni Ugonjwa wa Kisukari huko Kampala nchini Uganda.

Taarifa za awali zinadai pia kuwa mwili utasafirishwa toka Uganda hadi Kasulu mkoani Kigoma.


Tunaendelea kufuatilia zaidi kupata habari za uhakika za Kada huyu machachari wa Chama cha mapinduzi.


Njia yetu ya kumrudia Mola ni Moja tu kwake leo kesho kwetu....


Rest in Peace Peter.


Note : HUYU NI MOJA YA VIJANA WALIOKUWA WAMEAJIRIWA NA CCM KUWAKASHIFU VIONGOZI WA UPINZANI MITANDAONI HASA KULE Facebook NA KUDIRIKI KUTOA MATUSI YA NGUONI HADHARANI PASIPO WOGA KWANI WALIKUWA WANALINDWA MAANA HAWAJAWAHI KUCHUKULIWA HATUA ZOZOTE PAMOJA NA KUWEPO NA SHERIA YA MTANDAO.

View attachment 455014

Note 2 : Sishabikii wala sifurahii kifo.


Chanzo : Thadeo Ole Mushi (Kada wa ccm)
Peter Kihose my classmate tukiwa chuo Tumaini University Iringa nikabahatika kufanyanae kazi kwa Siku moja Njombe akiwa kama Afisa biashara RIP
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Na hakuna kitu kibaya kama kumtabiria mwenzako kifo kana kwamba wewe hutakufa.
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Huyu hakuwa na utu hata kidogo, bora ameondoka mapema, ktk hili siwezi kuisaliti nafsi yangu kwa mjinga huyu
 
Na hiyo hapo chini ndo post yake ya mwisho FB

Peter Kalihose
December 11, 2016 at 12:56pm ·
Unapokuwa umekufa hujui chochote wala husikii maumivu, wale walio hai ndio hubeba maumivu ya kifo chako....

Hiyo ni sawa sawa na pale unapokuwa lichadema, huwezi kujua uzito wa upumbavu wako.....bali WanaCCM ndio siku zote wataumia na kusahihisha au kukabiliana na madhara yatokanayo na upumbavu wako...

Ukiwa lichadema, kamwe hutaona uchungu kwa mambo mabaya dhidi ya Taifa letu...

1...utashangilia rushwa,
2...utakumbatia wala rushwa,
3...utawaunga mkono wasaliti wa maendeleo,
4...utawabeba wahujumu uchumi 3...utawapongeza wanafiki...
5...utakuwa tayari kuwafia wapiga dili

Gharama za hayo yote zitakuja kulipwa na UZALENDO wa WanaCCM ambao watahakikisha MASLAHI YA TANZANIA yanalindwa, yanapiganiwa, yanatetewa na kuwekwa mbali na MIKONO YA WENYE HUSDA...

MWENYEZI MUNGU, HATUWACHUKII NYUMBU, TUNAJUA NI VIUMBE WAKO, TUNAJUA BILA WAO [HASHTAG]#MLISHANO[/HASHTAG] (ECO SYSTEM) USINGEKAMILIKA....LKN TUNAOMBA WAENDELEE KUWA NYUMBU...

CCM IDUMU MADARAKANI MILELE KWA MASLAHI YA TAIFA LAKO LA TANZANIA ULILPTUPATIA TUISHI...

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki CCM...

jamaa alikuwa kada kweli kweli ee..?
 
Back
Top Bottom