Amezikwa Leo nyumbani kwao Kasulu na kuonyesha vikaratasi suicide notes za kujiua. Amejiua mwenyewe kutokana na Matatizo na Mwajiri wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ndugu Mhagama Pamoja na alichoandika kuhusika Kwa RC wa Kagera
Sijaona Lizaboni akipost chochote wiki hiiUlale salama kada. Humu JF anaitwa........
Mzee Tupatupa
Wasamehe saba mara sabini na saba!Mm viongozi wa ccm wakifa huwa sishangai sana kwasababu wenyewe huwa wanajionaga ni wajanja sana na wanaona kama hawaji kufa.
Mkuu hivi kufa kuna chama?Mm viongozi wa ccm wakifa huwa sishangai sana kwasababu wenyewe huwa wanajionaga ni wajanja sana na wanaona kama hawaji kufa.
Kufa ni kufa tu. lakini nikiangalia mateso wanayo pata viongozi wa upinzaniMkuu hivi kufa kuna chama?