TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Ndugu Peter Kalihose, mwanachama na kada hodari wa CCM mitandaoni ambaye alikua akikisaidia sana chama chake hasa kwenye propaganda. Lakini kifo cha Peter kitupe somo sisi tuliobaki hai.

Pamoja na umahiri wa Peter katika kujenga hoja lakini alikua bingwa wa kuattack personality. Matusi aliyoyatoa kwa Lowassa mengine hayaandikiki. Aliwahi kumuita mgonjwa, dhaifu, na marehemu mtarajiwa. Bahati mbaya hakuna kiongozi wa CCM aliyemkemea dhidi ya lugha hizo za matusi.

Leo Peter ametangulia amemuacha yule aliyemuita marehemu, maiti inayotembea, mgonjwa, na dhaifu akizidi kuimarika na kujenga chama chake. Ni vizuri tuishi tukijua maisha ya hapa duniani ni ya muda tu na siku moja sote tutatoweshwa. Hatuna mji udumuo hapa. Lakini jiulize utakapoondoka utaacha alama gani nyuma yako? Alama utakayoiacha itafuatana na matendo yako.

Usijivunie uzima ulionao. Uzima na ugonjwa ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu. Kama wewe ni mzima mshukuru Mungu na waombee walio wagonjwa. Katika malezi yangu
 
Mkuu sikulazimishi kuamini ninachokiandika ila huo ndio ukweli.

Jamaa alichanganyikiwa baada ya Pombe kushika nchi ila hakupenda kujionesha kuwa upande wa upinzani sijui kwa ajili ya kuona aibu .

Kwa sababu hawa ndugu zangu wapo wawili walipata huo mtihani mmoja alikimbilia kusoma Arusha mpaka leo yupo huko yeye alikuwa kahama ila sitotaja ofisi gani. Yeye pia alitamani kuacha kazi watu walimshauri aombe kibali ili akasome hapo kabla vibali vya kwenda kusoma havijaanza kuzuiwa.Ila huyu wa pili yeye ndio alikuwa timu Lowasa kabisa sasa kwa ile hofu tu ya kudhindwa bosi wake alizidi kukonda.

So subiri tukipata mwili na report ya kifo nitawapa habari kamili wala msiwe na shaka wandugu.
Du sasa alikuwa anamtaka nani? maana Lowasa alimuita mtarajiwa na huyo aliepata alimchanganya.Kweli inawezekana tunajibizana na watu wenye stress za ajabu.
 
Mkuu sijui kama kuna mahali nimemtetea, nilichozungumzia ni uhalisia wa mtu kujiua kwa kujichoma choma kisu (maana yake kajicoma zaidi ya mara moja); umewahi kuisikia hii?

Habari za ushuhuda wa maisha yake ni maisha yake mkuu.
Kujichoma zaidi ya mara moja it's obvious possible mkuu! why NOT?
 
siku zote nawaambia watu pumzi inawasumbua unakuta mtu anazungumza mambo ambayo dah !!!unajiuliza hivi huyu ni binadamu mwenye damu ama ni kiumbe cha sayari nyingine ama maana hajui alitendalo.pumzi s yako hujui inaeza kata sa ngapi bado mtu anajitutumua.Eee Mungu uturehemu sawasawa na wingi wa fadhili zako.Laiti tungekua tunayajua maisha baada ya pumzi kukata nahiisi dunia ingekua better place lakini na huku kutokujua pia bado haitupi nafasi ya kuogopa mhhhhhhh hii kali!!!!!!!!!
Hicho kinaitwa kiburi cha uzima huku aliekupa huo uzima wala hujui amekupangia lini unaondoka. Mambo ya MUNGU aachiwe MUNGU.
 
Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Ndugu Peter Kalihose, mwanachama na kada hodari wa CCM mitandaoni ambaye alikua akikisaidia sana chama chake hasa kwenye propaganda. Lakini kifo cha Peter kitupe somo sisi tuliobaki hai.

Pamoja na umahiri wa Peter katika kujenga hoja lakini alikua bingwa wa kuattack personality. Matusi aliyoyatoa kwa Lowassa mengine hayaandikiki. Aliwahi kumuita mgonjwa, dhaifu, na marehemu mtarajiwa. Bahati mbaya hakuna kiongozi wa CCM aliyemkemea dhidi ya lugha hizo za matusi.

Leo Peter ametangulia amemuacha yule aliyemuita marehemu, maiti inayotembea, mgonjwa, na dhaifu akizidi kuimarika na kujenga chama chake. Ni vizuri tuishi tukijua maisha ya hapa duniani ni ya muda tu na siku moja sote tutatoweshwa. Hatuna mji udumuo hapa. Lakini jiulize utakapoondoka utaacha alama gani nyuma yako? Alama utakayoiacha itafuatana na matendo yako.

Usijivunie uzima ulionao. Uzima na ugonjwa ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu. Kama wewe ni mzima mshukuru Mungu na waombee walio wagonjwa. Katika malezi yangu
Wise Talk!
 
Wanaccm wenye matusi mbona wanapukutika ? Bado wazanzibar wawili , mmoja tiamaji tiamaji !

Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
afe tu hamna namna yaani nkisikia ni mwana ccm roho inaniuma ndo waliotupa shida hawa
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Kwa hiyo siasa ianruhusiwa ktk ungonjwa. Ifike mahali tuache unafiki[emoji120]
 
Back
Top Bottom