TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

"lowassa kama nabii vile"kila aliyemdhihaki na kumtweza anapata haki yake!,haisee ENL anatisha,sioni ubaya wale waliomtusi na kumdhihaki kwenda kwake na kumtaka RADHI.
*YUPO JAMAA MMOJA KANDA YA ZIWA ALIMTUSI KWELI......./
*Toka wamtusi ni mwaka tu umepita je after 4 years tutaona mengi...
*******
PUMZIKA KWA AMANI P.K.
 
aah huyu afe tu ase, Mungu hadhihakiwi wala hajaribiwi, si ndio alimwita lowassa maiti huyu, haya sasa kaanza yeye kuwa maiti
 
Paulo makonda fanya ukamuombe msamaha lowassa ase, wenzako wanapukutika hivyo, dunia tamu hii jamaa yangu, utapotea Mapema sana ase.
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Waambie siasa zisiwatoe utu, ondoa kibanzi jichoni mwako kwanza
 
Kila mtu atakufa,yy kaanza cc tunafuata,sioni haja ya ya matangazo,,
 
Kama kumtabiria Lowasa kifo unakufa MANGE KIMAMBI tungekuwa tushamsahahau. Maana hakuna aliemfikia kwa matusi yake. R.I.P. Peter
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Kumbe chungu eeh..... alivyokuwa anasema lowasa hakatizi mwaka hayo hukuyaona? Alipokuwa anamtukana baba wa watu kuwa anaumwa hukuyaona...... kila aliyetabiri kifo cha lowasa kwenye mitandao leo wengine hatunao.... na msipokuwa makini itahamia kwa waliokuwa wanacomment positively kwenye hizo post za watabiri...... kifo na uhai tumwachiage Mungu. Yy ndiye anayejua hatima ya kila mmoja wetu.
 
Mzee lowassa alitukanwa sana lakini kwa busara zake hakujibu chochote. Sasa mungu ameamua kutoa makucha dhidi ya hao watukanaji. Kama ulimtukana lowassa basi chonga kabisa jeneza la kukuzikia. Huyu ndiye alimtukana sana lowassa mwache afe tu na wengine watafuata
Kwani kifo ni adhabu?
 
Back
Top Bottom