TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

Unaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
Dr Lemi ongala ,kifo hakina huruma ,toa taarifa ili niage
 
rest in peace,
i know kwa daktari kama wewe ni adimu sana.
kazi ya neurologist ni ngumu sana hata ukiisomea utasoma miaka mingi kuliko wote.
Mungu amrehemu. Ampumzishe kwa amani. Unaposema utasoma miaka mingi kuliko wote wamaanisha nini na wapi? Badirisha huyo mtazamo wa kibongo. Kuna kozi nyingi tu za subspecialty ambazo waweza zisoma muda mrefu sawa na zaidi ya neurosurgery.
 
Na sisi humu kufikia 2100 hatupo wote duniani.
Mkibisha mje apa kijiweni mnipige🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Rest in peace,
I know kwa daktari kama wewe ni adimu sana.
Kazzi ya neurologist ni ngumu sana hata ukiisomea utasoma miaka mingi kuliko wote.
 
Inauma sana haya maisha, yani unalala.... Unaamka.... Ila ipo siku utalala na kupitilizia huko huko hata kama ulikua una mipango gani kichwani na kuwaacha wategemezi wako. Kifo kweli hakina huruma
Unaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
 
Unaseka na mavitabu usku kucha, kujituma, end of the day unakufa kifo kuwa na huruma Basi hii dunia hamna ambae atajua kuifaidi coz UNAWEZA ukatafuta alafu ukapata ukafa na kufa
Fikiria katika kipindi kifupi cha maisha yake Mungu ametumia mkono wake kuokoa maisha ya wangapi? Usihesabu miaka ya watu kuishi duniani bali hesabu michango ya watu hao duniani. Mchango wa mtu duniani ni multiplying factor kubwa sana kwenye umri wake hapa duniani.
 
Back
Top Bottom