PJ hapoo date na day haviendani aisee mwongozo kwa walio karibu2. Maziko ni kesho Jumatano 13/12/2012.
3. Muda wa mazishi ni kuanzia saa 5 na kuendelea.
We nae...!!Pj hapo date na day haviendani aisee mwongozo kwa walio karibu
We nae...!!
Ukimchunguza sana bata humli!!...na ukiifuatilia sana AIRTEL huwezi kuhamia!
All in all iam sorry for inconvinience, kesho ni 13/12/2012 Alhamisi. Dena Amsi, tukutegemee nini kesho tokea huko Kericho!?
Nadhani alimaanisha Alhamisi