TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole sana Ennie....

Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe....

Mungu azidi kukupa nguvu....
 
Pole sana Ennie. Kumbuka kwamba Mungu yu pamoja nawe, endelea kumtegemea.
Tunamwomba Mungu akupe ujasiri wa kuyakabili maisha chini ya uongozi Wake.
RIP mume wa Ennie.
 
Last edited by a moderator:
"Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe" AMEN- RIP Ennie husband
 
Last edited by a moderator:
Pj hapo date na day haviendani aisee mwongozo kwa walio karibu
We nae...!!
Ukimchunguza sana bata humli!!...na ukiifuatilia sana AIRTEL huwezi kuhamia!

All in all iam sorry for inconvinience, kesho ni 13/12/2012 Alhamisi. Dena Amsi, tukutegemee nini kesho tokea huko Kericho!?
 
Last edited by a moderator:
We are on same route but difference time, year and date. So all we are passenger no matter how poor you are, rich you are, wote ni wa kwa udongo tu. Kwa hiyo katika maisha yetu ya kila siku tukumbuke we are nothing in this world. Tufanye ya kumpendeza Mungu, tuache maasi, chuki na husda kwa sababu azina maana.
Dada pole sana Shemeji alale kwa amani na Mungu akutie nguvu ili ukabiliane na magumu katika kipindi hiki kigumu
 
We nae...!!
Ukimchunguza sana bata humli!!...na ukiifuatilia sana AIRTEL huwezi kuhamia!

All in all iam sorry for inconvinience, kesho ni 13/12/2012 Alhamisi. Dena Amsi, tukutegemee nini kesho tokea huko Kericho!?


Nipo basi Kericho?. Narudi Ijumaa sitakuwapo my dear Mseveni bana mimi sana pande hii
 
Pole nyingi kwa wafiwa, pole dada Ennie Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Kapumzike kwa amani Kaka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom