Umepotea Man, come backZamani palikuwa pazuri sana,ebu check hili jengo 1958 la DC wa zamani ila kwa sasa linatumiwa na halmashauri
View attachment 74240
yes kabisa chiefNo!!!hii picha ya 2005+,hii toyota land cruizer hpo posta bank ni gari za 2004 kuja juu,posta bank kuna tangazo la western union,gari za mwenge toyota costa zimeanza kuuingia miaka ya karibuni
Tupo BushLand,Pilika Pilika za Porini za kukata mkaa zimekuwa ngumu kwa sasa,kukimbizana na askari mda wote.Ume
Umepotea Man, come back
Mkuu haman around 2006 au 2008 hivi unafahamu namba za magari zilipokuwa zinaanzia na TZ kabla hazijawekwa herufi mbele kama TZA AU TZB nakuendelea ? Acha kubahatisha kwa kiwango hicho.around 2006 - 2008
Hivi hizi ndinga hata sitemirror zilikua hamna.
Madereva wa enzi hizo kiboko wajameni, ngoma inaendeshwa bila sitemirror! Ila hawa waleo mungu tu ndo anajua
Hivi hizi ndinga hata sitemirror zilikua hamna.
Hajakosea sana site na side zina maana inayoshabihiana.Siyo sitemirror ni side mirror!
Elimu haina mwisho! So we were told in primary school.
Habari Mkubwa, naomba urejee katika Uzi wetu wa Ndoto, twahitaji msaada wako mkubwaHajakosea sana site na side zina maana inayoshabihiana.
Hili eneo halijabadilika kabisa.
Arusha Clock Tower mwaka 1961
Hawa ndio wakina Jux, Ally Kiba, Dully Sykes wa enzi hizo.
Afro 70 wakiwa Namanga mwaka 1970 baada ya kutoka Nairobi kupata vyombo vipya.
Walilazimika kupiga Namanga ili wapite na vyombo vyao vipya bila bughudha
Unajua msingi wa Azimio la Arusha au unaongea tu?Azimio la Arusha hilo ndilo lilitudumaza kimaendeleo baada ya kutaifisha nyumba, shule na viwanda vya kina Patel
Ipo mkuu angalia vizuri tu utaiona, iko usawa na huo mti kushoto.Madereva wa enzi hizo kiboko wajameni, ngoma inaendeshwa bila sitemirror! Ila hawa waleo mungu tu ndo anajua