No!!!hii picha ya 2005+,hii toyota land cruizer hpo posta bank ni gari za 2004 kuja juu,posta bank kuna tangazo la western union,gari za mwenge toyota costa zimeanza kuuingia miaka ya karibuni
yes kabisa chief
 
around 2006 - 2008
Mkuu haman around 2006 au 2008 hivi unafahamu namba za magari zilipokuwa zinaanzia na TZ kabla hazijawekwa herufi mbele kama TZA AU TZB nakuendelea ? Acha kubahatisha kwa kiwango hicho.

Hapo Pichani Kuna Gari zenye registration za Kitambo TZL huo Mwaka2006 namba za T---AAA zilikuwa Tayari
 
Nchi hii yumeihsribu kwamikono yetu. Mambo yalikuwa kwenye mstati tokea zama za uhuru lakini leo tunapiga kelele utafikiri tunaelekea kuadhimisha miaka mitano ya uhuru.
 
RELWE%5B1%5D.jpg
Hivi hizi ndinga hata sitemirror zilikua hamna.
 
Afro+70.jpg


Afro 70 wakiwa Namanga mwaka 1970 baada ya kutoka Nairobi kupata vyombo vipya.

Walilazimika kupiga Namanga ili wapite na vyombo vyao vipya bila bughudha
Hawa ndio wakina Jux, Ally Kiba, Dully Sykes wa enzi hizo.
 
Azimio la Arusha hilo ndilo lilitudumaza kimaendeleo baada ya kutaifisha nyumba, shule na viwanda vya kina Patel
Unajua msingi wa Azimio la Arusha au unaongea tu?

Huwezi kujenga nchi yenye usawa ikiwa tabaka moja wanamiliki mali na tabaka lingine wanabaki kama Watazamaji alafu bado mkajiita jamii iliyo huru, na mbaya zaidi tabaka linalomiliki mali ni wa jamii fulani na Wanyonge ni jamii nyingine.

Mwalimu alifafanua vizuri sana hili, sijui ingekuwa wewe unataka kujenga jamii yenye usawa ungefanyaje?

Ungekaa pembeni tu na kuangalia Wahindi na Wazungu wakiwa na shule zao, hospitali zao, mitaa/makazi yao n.k na Walio wengi wabaki tu pembeni?
 
159 Reactions
Reply
Back
Top Bottom