Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,100
- 8,287
Habari ya simba wanaweka nyimbo za masaiYes maboresho muhimu,, Mimi kitu ninachoona kinahitaji maboresho kinao ekana ni kidogo lakini kinamaana,"background sound" Mimi nadhani background sound inapaswa iwe ya kuchangamsha na kuvutia, tutazame hata za huko nje background sound zinavyokuwa na vibe,, unajua documentary inaweza kuwa nzuri ila background sound Ikiwa Kama inahuzunisha hivi, unaweza acha kuendelea kuitazama.
Wazo zuri sana ujue mkuu tour guide wakipewa fungu hakika tutaona kitu Cha tofauti sana kwenye hiyo chanel!Bora wawape kazi matour guider
Hiyo chaneli inatakiwa ijirndeshe ili akili iwakae sawa au ibinafsishweWazo zuri sana ujue mkuu tour guide wakipewa fungu hakika tutaona kitu Cha tofauti sana kwenye hiyo chanel!
DaahWabadilishe hao ma guide hawana facts alafu stori zilezile kila siku, tokea lini ndege akawa kwenye food chain ya mamba eti kisa mda mamba anapoacha mdomo wazi na wale ndege wanaoenda pale na kuingia mdomoni kwamba ni mtego.. nilishangaa sana nakuzim tv adi leo siangalii safari chanel hawajui kuhusu wild life hao watangazaji.
Waache kurudia stori zilezile zinachosha wajaribu kwenda na wakati wild life kila siku mambo yanabadilikaDaah
Mi mshahara wangu upo pale pale hata akiangalia mtu mmoja.Wabadilishe hao ma guide hawana facts alafu stori zilezile kila siku, tokea lini ndege akawa kwenye food chain ya mamba eti kisa mda mamba anapoacha mdomo wazi na wale ndege wanaoenda pale na kuingia mdomoni kwamba ni mtego.. nilishangaa sana nakuzim tv adi leo siangalii safari chanel hawajui kuhusu wild life hao watangazaji.
Hilo ndio tatizo letu wa TzMi mshahara wangu upo pale pale hata akiangalia mtu mmoja.
HahahaWabadilishe hao ma guide hawana facts alafu stori zilezile kila siku, tokea lini ndege akawa kwenye food chain ya mamba eti kisa mda mamba anapoacha mdomo wazi na wale ndege wanaoenda pale na kuingia mdomoni kwamba ni mtego.. nilishangaa sana nakuzim tv adi leo siangalii safari chanel hawajui kuhusu wild life hao watangazaji.
Wajifunze kwa channel kama netwild...mana bado wapo nyuma sana..kamera sinatoa picha nyeusi..kama ni maporomoko ya maji wanaweza onesha jinsi maji yanavyomwagika kipindi kizima..
Bado kuna mengi ya kurekebisha.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli kabisa , hadi kwa walimu(baadhi) wana kauli kama hiyo eti "hata mkifeli mshahara wangu uko pale pale"Hilo ndio tatizo letu wa Tz
UMENENA MKUU.Hata mkiboreka, sisi mshahara wetu upo palepale. Wameacha kurudia vipindi?