Saint Anno II
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 4,355
- 15,018
Hakuna asiyemkumbuka hata aliyekuwa anamchukia nadhani sasa akili zimemkaa sawaMwarobaini ulikuwa Magu, mkauponda acha watumie barabara nawe ikikuuma tumia hivohivo
Hakuna asiyemkumbuka hata aliyekuwa anamchukia nadhani sasa akili zimemkaa sawaMwarobaini ulikuwa Magu, mkauponda acha watumie barabara nawe ikikuuma tumia hivohivo
Wanasema ndio ukakamavu wenyewe huo🤣😂Leo pale Mbezi Temboni sijui ndiyo wanamuita CDF au mkuu wa majeshi alikuwa anapita asubuhi tukiwa tunasubiri taa ziruhusu aisee wale MPs ni totally crazy,jamaa wanagonga gonga body hovyo gari inayoongoza msafara iko mbio aliyopanda huyo jamaa iko mbio
Halafu ni kwenye mataa,vitu vya ajabu kabisa.
Jeshi wakati wote wako kazini wawe polisi,JWtZ nk wapishe waweza Kuta wanawahi vita au mahali Kuna tukio wakikaa nyuma Yako kumbe mbele Kuna majambazi yanapora watu Kwa silahaLeo pale Mbezi Temboni sijui ndiyo wanamuita CDF au mkuu wa majeshi alikuwa anapita asubuhi tukiwa tunasubiri taa ziruhusu aisee wale MPs ni totally crazy,jamaa wanagonga gonga body hovyo gari inayoongoza msafara iko mbio aliyopanda huyo jamaa iko mbio
Halafu ni kwenye mataa,vitu vya ajabu kabisa.
Kuna wajinga wengi hapo anajiona mjanja alivyocomment ujinga.Mhh, ndio maana watu wanasema Watanzania ni watu hawako serious na lolote
Hakuna anayekataa ila usalama kwanza,kama hoja ni hiyo basi waongeze umakini.Jeshi wakati wote wako kazini wawe polisi,JWtZ nk wapishe waweza Kuta wanawahi vita au mahali Kuna tukio wakikaa nyuma Yako kumbe mbele Kuna majambazi yanapora watu Kwa
silaha
Wewe utakuwa Sio raia mwema utakuwa jambazi
Wako makini wamefunzwa dangerous driving huku wakilinda uhai wao na wa wengineHakuna anayekataa ila usalama kwanza,kama hoja ni hiyo basi waongeze umakini.
Kupita traffic lights gari ikiwa speed zaidi ya hamsini kwa madai mnawahi majambazi sijui vita (na bora hata wawe kweli wanawahi hiyo vita) hiyo siyo dharura huo ni uhuni,inajulikana kabisa asubuhi barabara zipo busy ila wao ni mbio mbio je wakigonga mtu wakauwa?
Kuna huu ujinga pia wa kusimamisha watu masaa mawili ili kiongozi apite. Hivi hakuna mawasiliano, kwamba kama ikibidi kusimamisha watu, basi isizidi nusu saa? Unakuta waziri mkuu bado yuko Ubungo askari wanasimamisha magari Chalinze. Akili za Watanzania sijui tulimwazima nani azitumie akakataa kuturudishia!Leo pale Mbezi Temboni sijui ndiyo wanamuita CDF au mkuu wa majeshi alikuwa anapita asubuhi tukiwa tunasubiri taa ziruhusu aisee wale MPs ni totally crazy,jamaa wanagonga gonga body hovyo gari inayoongoza msafara iko mbio aliyopanda huyo jamaa iko mbio
Halafu ni kwenye mataa,vitu vya ajabu kabisa.
Uhasama wa TaifaUsalama wa taifa walikuwepo enzi za mwalimu na kidogo wakati wa mzee Mkapa.
Hawa wa Sasa ni ufala-ma wa Taifa.
Huyo jamaa ni mjinga namba moja Tanzania.. Kwa style hii tuna safari ndefu Sana ya kupata mafanikioMhh, ndio maana watu wanasema Watanzania ni watu hawako serious na lolote
Watanzania tuna shidaMkuu japo sijasoma ulichoandika lakini hata kama ni ww unataka Vieite ikae nyuma ya IST kwenye foleni pale Nelson Mandela road?
Yaani unaweza kusikia king'ora na pikipiki ukapisha kumbe ni Mwijaku!Vingola vingi kweli sahv
Ova
Bado haujakutana na zile nissani new model za familia ya GSM zunafujo kuliko usalama wa taifaYaani unaweza kusikia king'ora na pikipiki ukapisha kumbe ni Mwijaku!
Eti used yupi Yuko vzr mwenye used yake au new ya Kodi za wananchiWako makini wamefunzwa dangerous driving huku wakilinda uhai wao na wa wengine
Dangerous driving au VIP speed driving ni course askari madereva hupewa aweza katiza hata mataa Kwa spidi 200 kilo mia Kwa saa asisababishe ajali
Sio vizuri kuwa block waweza kukutandika risasi sababu waweza kuhisi vibaya kuwa unawazuia operation zao za kijeshi ukawekwa Kundi la wahalifu ukauawa Bure na kagari kako used
Ukisikia ving'ora au wanakuja park pembeni au acha njia wazi wapite .Hata iwe asubuhi waweza kuwa wanawahi mikutano ya kujadili Hali ya usalama wa mkoa,wilaya au Nchi na kuwahi kupekeka ripoti Kwa Raisi Kwa maamuzi au wakubwa wao asubuhi hiyo
Kifupi Wewe wapishe tu
Ujeuri haulipi na kigari chako used
Mkuu unajua maana ya DANGEROUS DRIVING? It's an offense.Wako makini wamefunzwa dangerous driving huku wakilinda uhai wao na wa wengine