Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,345
- 54,793
Hatari Kubwa SanaZama za teknolojia hizi Ni sawa na kuzuia maji kwa mikono.
Ogopa MUNGU na teknolojia-Ruge
Hatari Kubwa SanaZama za teknolojia hizi Ni sawa na kuzuia maji kwa mikono.
Ogopa MUNGU na teknolojia-Ruge
Subiri Utaona Kivumbi Pale Atakwenda Kuibomoa Ofisi Yote Yaani Atachuja Makapi Yote!!!Maza inabidi atumie chujio kubwa kuwachekecha
Nalog off
Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
naunga mkono hoja kwel kabisa tz haiko salamaTISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
Na iwe hivyo yaaniSubiri Utaona Kivumbi Pale Atakwenda Kuibomoa Ofisi Yote Yaani Atachuja Makapi Yote!!!
Makada, inatakiwe kiwe chombo huru.Ndo jua sasa wale jamaa na misuti yao myeusi na miwani na microphone kumbe hamna kitu .TISS inatakiwa kuundwa upya na sio kuokota okota tuu.
Nakuunga mkono kuwa Idara hizi nyeti si za kufanya kwa kujuana ingawa tatizo la siri kuvuja liko dunia nzima kila siri ina bei yake cha muhimu nikujua hulka ya muuzaji anapenda sifa pesa ama kisasi, pia kizazi hiki hasa cha ki Tanzania kina tatizo la maadili kuanzia ngazi ya familia hadi mashuleni hadi kazini .Angalia hulika zetu zikoje hata umtoe wapi lakini kuna ile hulka flani watu wa kizazi hiki wanayo kila wanacho kisikia na kuona wa kimbilia ku share hivyo uhifadhi wasiri lazima uwe mgumuTatizo TISS wa siku hizi ni UVCCM ndio maana, hakuna kitu kichwani, mliyataka wenyewe.
Mkuu kwa mfano kuna yale magari ya jeshi ambayo hutumika kwenye sherehe za uhuru au kuapishwa kwa marais au kubeba miili ya marais waliofariki... hayo magari yalionekana tangu jumanne wiki hii inayoisha yakitoka lugalo jeshini kuelekea mjini sasa wenye akili walipoyaona hayo magari wakaunga dots kwamba kuna jambo kwa sababu yale magari huwa hayaonekanagi hovyo tu mitaani.....Kuna vitu vingine hauwezi kufanya siri hata uweke sheria kali kwenye hii dunia digito! Kifo uwezi kufanya siri. Jeneza linapotoka kuna watu, wapakiaji, dereva, wanao lipokea ikulu/hospital linapoifadhiwa hapo ikulu/hospital kuna wafanyakazi watakuwa wanaliona. Unaweza kuficha kwa masaa machache lakini sio siku utakuwa unajidanganya!!
Nashauri serikali badala ya kutunga Sheria kali za mitandao ijikite kuzalisha manguli wa tecnolojia waweze kupambana na Changamoto za kitecnolojia.Kabisa zamani Tv na video decks ilikuwa ni Sheikh Yahaya tu na Nyerere pale ikulu basi. TISS wa JPM wameonesha kuwa walifanyakazi zao kuangalia maslahi mapana ya walio wengi katiks nchi hii. Na kifo cha JPM kimedhihirisha hilo. Mafisadi wanaojitahidi kupitia vibaraka wao wanao walipa kùjaribu kufifisha kazi za TISS na kuchafua taswira ya idara hii kwa kutumia vimelea vyao ndani ya mvumo bado wameshindwa sana ndio "big time" kuinyongonyeza TISS na vyombo vingine vya Kiusalama.
Lengo lenu ni kuficha nini ?Nashauri serikali badala ya kutunga Sheria kali za mitandao ijikite kuzalisha manguli wa tecnolojia waweze kupambana na Changamoto za kitecnolojia.
Unaitaka ya nini?wapi naweza kuiona sura na video ya jpm?
anataka aione...nayeye aage...kwani walio enda kuaga walienda ili iweje...?Unaitaka ya nini?
Nashauri serikali badala ya kutunga Sheria kali za mitandao ijikite kuzalisha manguli wa tecnolojia waweze kupambana na Changamoto za kitecnolojia.