Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

kelele na kejeli za nini.Ingiene mzigoni kuzipimz hizo IQ ndogo achakuandika post alafu unamuonyesha mkeo ni me watusi JWTZ JF kama unakojoa huku dudu lime dinda ingia mzigoni ikiwezekana ungana na Kagame
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
 
kelele na kejeli za nini.Ingiene mzigoni kuzipimz hizo IQ ndogo achakuandika post alafu unamuonyesha mkeo ni me watusi JWTZ JF kama unakojoa huku dudu lime dinda ingia mzigoni ikiwezekana ungana na Kagame

Yale yale IQ ndogo ..unaona mavi unadhani keki ...TZ hakuna jeshi ni kikundi cha waigizaji...kama mna jeshi si mlipeleke afghanistan au somalia? Si mna jeshi imara ninyi pelekeni huko...mxxxxxxxx....wote walioenda jwtz ni wale vilaza waliofeli shule so hawanipi shida sana...
 
majeshi yana nguvu ya umma?misri,tunisia hawana majeshi?tungewasifia kama wangekua ni madaktari bingwa na kutibu wagonjwa hasa akina mama waliopo hospitalini sio kuruka ruka tu kama wahuni.shida yetu ni elimu bora na tiba bora.sio vifaru na kuvunja matofali

umeonaeee bg up
 
najivunia kuwa na JESHI IMARA,critics endeleeni na kudai haki zenu za kuoana sisi tunajenga nchi,nafurahi kuona hata kodi nayo katwa kila saa na kila dakika walau inatengeneza vijana kama hawa
 
Hawana tofauti na akina kingwendu..waende afghanistan wakaonyeshe huo ukomando..ukomando sio kuvunja matofali...jk bwana hivi unafikiria hivi vitu kweli..acha sanaa ujijengee heshima huu mnaofanya ni upuuzi

Wavunje vyuma hivyo vitofali ni viini macho kama mazingaombwe.
 
kwanza nyingi sana waziuze,then pesa tununulie madawati,silaha nyingi za nini wakat maadaui wetu wanasiasa walaf wanatukanana na kupata pesa,wanaoficha pesa nje na wanaojilimbikizia mali,,,,,

hilo deal la kuuza silaha mbona nasikia watu walishapiga sana mkwanja kule kwenye utitiri wa vikundi vya waasi-congo.
 
najivunia kuwa na JESHI IMARA,critics endeleeni na kudai haki zenu za kuoana sisi tunajenga nchi,nafurahi kuona hata kodi nayo katwa kila saa na kila dakika walau inatengeneza vijana kama hawa

chukua 5 kiongozi.
lets haters hate and yappers do the yap.JWTZ careless.
 
Yale yale IQ ndogo ..unaona mavi unadhani keki ...TZ hakuna jeshi ni kikundi cha waigizaji...kama mna jeshi si mlipeleke afghanistan au somalia? Si mna jeshi imara ninyi pelekeni huko...mxxxxxxxx....wote walioenda jwtz ni wale vilaza waliofeli shule so hawanipi shida sana...
Nakumbuka M23 Walitoa maneno zaidi ya haya ..... nadhani MKAMASIMBA naye anatamani kuchangia
 
Watanzania tuna akili sawa na za nyumbu!!

Hayo matofari waliyokua wanayavunja ni ya tbs au haya matofari ya mfuko mmoja wa saruji matofari 70???

Mfuko mmoja wa saruji unatoa matofari 25 to 30 quality kabisa,unaweza lipigiza chin na lisipasuke!!

Mbili huwezi niambia eti komandoo anapigwa na ubao usoni! Ni ubao wa aina gani huo! Kama zile mbao za sreem board sawa but Kama no mninga wenye ukubwa wa mpini wa jembe la mkono nasema tumefungwa kamba!
 
Nashawishika kujiunga jeshi kiukweli,nani anipe mchongo nina degree ya telecom umri miaka 30 ninapendelea hasa kurusha ndege za kijeshi au makombora ya masafa marefu
 
Yule commando aliepigiwa tofali tumboni, amenikumbusha enzi za Power Mabula wa mwanza na makeke yake!! Kuwa commando kunajumuisha mambo meengi sana, hii ilikuwa maigizo.
 
Umeonaeee! Miili ya mazoezi hayo! Muda mwingine nawakubali!

Wangepewa zoezi la kutokomeza mauaji wa tembo nafikiri hilo lingekoma!

Walishaanza kazi majangiri wakanunua waandishi kila siku utasikia haa mara haki za binadamu. Wakifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokomeza ujangiri wa baharini. Wanasiasa walisababisha wakashindwa pamoja na wale unaowashabikia
 
Back
Top Bottom