Beijing Auto Show 2026

Beijing Auto Show 2026

Kusema kweli magari siku hizi ni more software kuliko hardware. Nimesikiliza Keynotes mbili, kila mtu AI AI AI. Ila sawa ndio tunakoenda.

Baadhi ya magari niliyoyasikia:

1. AUDI E7X
Usimix na Audi, hii AUDI ni magari kutoka Audi ila Specifically kwaajili ya China.
IMG_7879.png

IMG_7880.jpeg

2. BYD
BYD wametambulisha sedan yao mpya Seal 08 na SUV yao Sealion 08.
IMG_7889.png


3. Nio
Nao wametambulisha ET09 SUV

4. Geely
Wao wamezindua EVA Cab, hii ni huduma ya robotaxi kama Cybercab ya Tesla.

5. Alibaba
Qwen AI ni ya kwenye gari, utaweza kufanya booking ya hotel, restaurant, movie au kuorder chakula ukiwa mataa.

6. Nissan
Nissan wamezindua PHEV SUV, ipo off road na ya town.
IMG_7883.png
IMG_7882.png
IMG_7881.png


7. Peugeout
Wamezindua magari kadhaa ila hii hypercar ni tamu, Peugeout 9X8.
IMG_7885.webp
IMG_7886.webp


8. Honda
Honda nao wamezindua pikipiki, magari etc ila SUV zao za HR-V na CR-V kali sana, kali ni EV yao mpya SV.
IMG_7887.webp
IMG_7888.webp
 
Back
Top Bottom