Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

hilo deal la kuuza silaha mbona nasikia watu walishapiga sana mkwanja kule kwenye utitiri wa vikundi vya waasi-congo.

kadoda11 seriously????,watu wapo makin na vitengo vyao,so walikua wanalangua silaha,kama huku maafisa kilimo wanavyolangua pembejeo za kilimo
 
Last edited by a moderator:
....
General+Service+Unit+Recce.jpg
 
Ha ha haa hao uliowaona sio makomandoo wewe...hawaruhusiwi hata kuishi huko uswahilini na wala hawajitambulishi kuwa wao ni makomandoo

Acha mawazo mgando wewe koo hao wajizaa au wamezaliwa huko jeshini si wanakwao na wanakwenda likizo makwao sema wew huko uliko ndo huwezi kuwaona mbona huku tunapiganao story kitaani
 
Watanzania tuna akili sawa na za nyumbu!!

Hayo matofari waliyokua wanayavunja ni ya tbs au haya matofari ya mfuko mmoja wa saruji matofari 70???

Mfuko mmoja wa saruji unatoa matofari 25 to 30 quality kabisa,unaweza lipigiza chin na lisipasuke!!

Mbili huwezi niambia eti komandoo anapigwa na ubao usoni! Ni ubao wa aina gani huo! Kama zile mbao za sreem board sawa but Kama no mninga wenye ukubwa wa mpini wa jembe la mkono nasema tumefungwa kamba!

safi xana
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

Mkuu waambie hao. AKILI YA NJAA HAISHINDWI KITU.
Niliwaambiaga hapa tusubiri Muungano tukaone kwaya. Nazani sasa wameamini.
 
Hawa makomandoo gani kama waigizaji wa bongo movie. Kuna mtu pale migomigo anaitwa Jimmy Master na mwingine Seba wanacheza hayo mambo pengine hata zaidi.
Na rais yuko pale anachekelea tu watu wanafanya mambo ya adabu.
Kwa ukomando huu kagame anawachora tu siku akianzisha mziki hamtaweza kuhimili.
Labda tutamshinda kwa wingi sio ushujaa
.tofali la kuchoma hata Mie navunja nikilewa.

ndugu umenchekesha sana asee
 
wabongo kwa ubishi na umbea hatujambo mlitaka waporomoshe makombora pale uwanjani au msidanganyike na filamu za kina Chaning Tatum, na Bruce wills shauri yenu, anzisheni sekeseke halafu muone kazi yake kama hamjakimbilia vyooni, sifia cha kwenu hata kama kina mapungufu, vikinunuliwa vifaa vya gharama vya kijeshi mnakuja juu ooh walimu hawajalipw, nchi inashida pumbaaaaafuuuuuuu
 
Heko kenya!! Huyu ni polisi wa special forces ya kenya...very proffession, modern, and full of tactics. Endeleeni kuwavunjisha matofali commando wetu ilhali hawana tofauti na polisi wa kenya.

Hao baada ya kurescue raia wanawahi pesa kwenye droo kiboko yao 4 pipo wa WESTGATE, bora WAZALENDO WANGU
 
Wape heko all you want. Ujuvi wao mkubwa waliudhihirisha wakati wa westgate siege. Wiki nzima wana kazi ya kuiba biskuti na soda na simu badala ya kuokoa watu. Hahaha, uliza mafanikio ya jeshi ovyo la tz. Toka enzi, iddi amini alileta pua akanyamazishwa baada ya siku ngapi? Majeshi ya tz yakienda popote africa wanamaliza kazi in a few days!
Heko kenya!! Huyu ni polisi wa special forces ya kenya...very proffession, modern, and full of tactics. Endeleeni kuwavunjisha matofali commando wetu ilhali hawana tofauti na polisi wa kenya.
 
kwa hiyo kwa akili yako marekani kwa sababu wana technologia,,wanawapiga wataliban kwa technolojia,,wao hawana makomando... wewe ni idiot,,pathetic to be specific

Nimevutiwa na jibu ulomjibu mwenzio, especially ukizingatia umemwita idiot mwishoni, but funny thing is that wewe umeuliza swali n at the same time umejijibu kwenye sentence yako mwenyewe, halafu ukisoma vizuri comment yake huyo ulomsema na kumwita idiot, it makes more sense na ni fikra inayohitajika hasa kwa sasa if wanauwezo wa kuvunja matofali basi wakalinde rasilimali zetu, na amesuggest, if u read between the line, kwamba vita vya kisasa vimetawaliwa zaidi na tech where as kunja tofali kwako hakutaishusha drone. So, whose an idiot now?
 
Hivi kuna makomandoo ambao ni wanawake? Na kama nikitaka kua komandoo lazima niende jeshini? Siwezi kuomba mafunzo tu kwa matumizi binafsi? Anaejua anisaidie majibu
 
Kukamisheni tu jasho mpaka sirini!!!!!

Hivi watu wakisikia komando wanawaza nini?????!!!!!!!!!
Mengine muyasikie na kuyaona tu!!!!!!
 
Hivi kuna makomandoo ambao ni wanawake? Na kama nikitaka kua komandoo lazima niende jeshini? Siwezi kuomba mafunzo tu kwa matumizi binafsi? Anaejua anisaidie majibu

Wapo makomando wa kike, ila kulingana na nature ya training ni wachache sana wanaofanikisha kufika mwisho wa mafunzo yote. Ukomandoo unahusiana moja kwa moja na jeshi, komando ni mtu/binadamu anayefundishwa kupambana au kushambulia kwa ufanisi wa juu zaidi na kwa muda mfupi zaidi na kwa ghafla zaidi na katika mazingira hatarishi zaidi.
Kulingana na maelezo hayo angalia kama ni muhimu kuwa komando kwa matumizi yako binafsi.
 
Back
Top Bottom