John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 389
- Thread starter
- #61
Hawana lolote hao so called makomandoo.
Una nia njema tu juu yako, technic unayoitumia kupata info hizi ni outdated!
Hawana lolote hao so called makomandoo.
nadhani kwasababu hakuna vita,btw nahisi huwa anapelekwa kusaidia nchi nyingine zenye migogoro
Wapo wa kutosha, highly trained and qualified. hatuna upungufu wa makomandoo!
Sizijui zote ila naweza kukutajia operations kadhaa za Navy SEALS - Invasion of Grenada, Panama, Afghanistan, Iraq, kumuua Osama, na kadhalika.
Hii nukuu ni kutoka Wiki:
Sasa makomandoo wa Tanzania zaidi ya kuruka ruka na kuvunja vibao kwenye sherehe wameshashiriki operesheni gani?
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......
tanzania ina makomandoo wangapi?
Huyo jamaa anayevunja kitofa kwa ngumi ukute ndo kakufumania na mke wake
hizi picha, si zote za leo, zimechanganywa.
weka hata kapicha wengine hatuwajui?!komando lady jay dee
na komando kipensi
labda operation tokomeza!
kwa hiyo kuruka na hizo parachute wanataka tuelewe nini hasa? Kwamba makomandoo wetu wapo fiti sana wanaruka kwa maparachute? Eti wanavunja mawe kwa vichwa, ili kumtisha nani? Hivi kweli waliyoyaonyesha yanatosha kujiridhisha juu ya ubora wao? Dunia ya sasa inaendeshwa kwa sayansi na teknolojia hivyo mbwembwe zote hizo ni kazi bure kama teknolojia ipo chini. sikatai umuhimu wa fitness kwa hawa mabwana ila tusiegemee huko zaid hakuna adui atakaye kuruhusu umsogelee daima atataka kukumaliza ukiwa mbali hivyo unapaswa kujipanga na kumkabiri akiwa mbali hivyo hivyo (teknolojia) wenzetu wana ndege zisizo na ruban ili kuhakikisha wanapambana na adui pasipo kuhatarisha maisha ya askar wao je sisi tuna kipi tunachotengeneza wenyewe? Tumeendeleza kwa kiasi gani yale magar tuliyokuwa tuna tengeneza?(nyumbu) Tuendeleze teknolojia yetu haya mambo ya kuruka na miamvuli kuwafurahisha raia hayana msingi ni sifa za kijinga. Wenzetu wanatuchora tu!
hayo mambo niya kizamani sana karne ya saivi kwenye war utamkamata nani umpige ngumi wangekua wanamazoezi ukipingwa risasi haingi hapo hata mimi ningewakubali lakini kwakuvunja tofari watasubiri sana, hizo mambo huku kitaa watu wanafanya sana.