Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

John Kachembeho

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
560
Reaction score
389
commamdo4.jpg

commamdo3.jpg

commamdo2.jpg

commamdo1.jpg

tanzanian commandos4.jpg
View attachment 132002

tanzanian commandos3.jpg
View attachment 132003
tanzanian commandos5.jpg
tanzanian commandos6.jpg
tanzanian commandos7.jpg
tanzanian commandos8.jpg
tanzanian commandos9.jpg
tanzanian commandos10.jpg
tanzanian commandos11.jpg
 
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi
 
Alivunja. Ilionyeshwa live na tv. But dont try it at home.
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......
 
endelea kuamini hivyo hivyo utakuja kujua muda umeenda
<script charset="UTF-8" src="chrome://hdv/content/hdv.js" type="application/javascript"></script>
 
Acheni utani hawa jamaa.muulizeni Kagame na waasi wa Anjuani wanajua mziki wao.Geshi letu chezea mengine sio JWTZ.Kagame alifahamu vizuri sana labda ngoja aje hapa jamvini awathibitishie
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

Nakuona wewe kama ifuatavyo: (1) haujui mazoezi(2)mvivu wa kufanya mazoezi(3)mpuuzi fulani ambaye uko kama Thomaso usiyeamini hata ukiona(4) Mtoto wa mama umelelewa katika maisha yasiyo ya kujishughulisha. Kwa taarifa yako dhana ya martial art kwa mjinga kama wewe huwezi kuamini kama mkono wa binadamu ulijazwa mazoezi unaweza kukunja nondo
 
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......

Alivunja
 
Mkuu hauwezi kutofautisha jiwe na tofali, na kwa ujasiri kabisa unawaita webongo vichwa panzi!

Nakuona wewe kama ifuatavyo: (1) haujui mazoezi(2)mvivu wa kufanya mazoezi(3)mpuuzi fulani ambaye uko kama Thomaso usiyeamini hata ukiona(4) Mtoto wa mama umelelewa katika maisha yasiyo ya kujishughulisha. Kwa taarifa yako dhana ya martial art kwa mjinga kama wewe huwezi kuamini kama mkono wa binadamu ulijazwa mazoezi unaweza kukunja nondo

Na martial art ni discipline ya hali ya juu mkuu, ni zaidi ya mazoezi. Kwa mtu mvivu ni msamiati.
 
hayo mambo niya kizamani sana karne ya saivi kwenye war utamkamata nani umpige ngumi wangekua wanamazoezi ukipingwa risasi haingi hapo hata mimi ningewakubali lakini kwakuvunja tofari watasubiri sana, hizo mambo huku kitaa watu wanafanya sana.
 
Mkuu huyo ni mvivu wa kufikiri,usiombe kuzaa mtoto kama huyo,,full of negativity,,coward, and idiot.
Nakuona wewe kama ifuatavyo: (1) haujui mazoezi(2)mvivu wa kufanya mazoezi(3)mpuuzi fulani ambaye uko kama Thomaso usiyeamini hata ukiona(4) Mtoto wa mama umelelewa katika maisha yasiyo ya kujishughulisha. Kwa taarifa yako dhana ya martial art kwa mjinga kama wewe huwezi kuamini kama mkono wa binadamu ulijazwa mazoezi unaweza kukunja nondo
 
kwa hiyo kwa akili yako marekani kwa sababu wana technologia,,wanawapiga wataliban kwa technolojia,,wao hawana makomando... wewe ni idiot,,pathetic to be specific
Upuuz mtupu watuonyeshe ukomando kwenye kulinda kundi dogo la tembo na rasilimali za nchi,kuvunja tofali kunasaidia nini kwenye dunia ya kisasa inayotawaliwa na war machines(technology).
 
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......

Hii ni ya siku za nyuma, ya jana jamaa walivaa tshirt nyeusi, ila ilipendeza mno, hawa jamaa ni watu wa ajabu sana, mtu anapigwa na mpini kichwani hadi unavunjika, kama haitoshi ili kuonyesha yuko fiti akatoa kofia akapigwa na mpini kwenye kipara, mpini ukavunjika. Mwingike akawekewa matofali mawili ya block cement kwenye kifua halafu jamaaa akaja na nyundo ya kupasulia mawe akayavunja yote mawili kwa pamoja kifuani kwa jamaa.
 
Wapuuz tu hawa, hivi katika dunia ya leo makomandoo bado wapo kwenye akili za kuvunja matofali?
 
Back
Top Bottom