Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

endelea kuamini hivyo hivyo utakuja kujua muda umeenda
<script charset="UTF-8" src="chrome://hdv/content/hdv.js" type="application/javascript"></script>

Utakuwa hujui what it takes kuqualify kuwa Commando wa jeshi. Tunaojua tunakuacha, utakuja jua mda umeenda.
 
kwa hiyo kuruka na hizo parachute wanataka tuelewe nini hasa? Kwamba makomandoo wetu wapo fiti sana wanaruka kwa maparachute? Eti wanavunja mawe kwa vichwa, ili kumtisha nani? Hivi kweli waliyoyaonyesha yanatosha kujiridhisha juu ya ubora wao? Dunia ya sasa inaendeshwa kwa sayansi na teknolojia hivyo mbwembwe zote hizo ni kazi bure kama teknolojia ipo chini. sikatai umuhimu wa fitness kwa hawa mabwana ila tusiegemee huko zaid hakuna adui atakaye kuruhusu umsogelee daima atataka kukumaliza ukiwa mbali hivyo unapaswa kujipanga na kumkabiri akiwa mbali hivyo hivyo (teknolojia) wenzetu wana ndege zisizo na ruban ili kuhakikisha wanapambana na adui pasipo kuhatarisha maisha ya askar wao je sisi tuna kipi tunachotengeneza wenyewe? Tumeendeleza kwa kiasi gani yale magar tuliyokuwa tuna tengeneza?(nyumbu) Tuendeleze teknolojia yetu haya mambo ya kuruka na miamvuli kuwafurahisha raia hayana msingi ni sifa za kijinga. Wenzetu wanatuchora tu!

Hasa hasa Uncle Kagame anawachora tu ndo maana akaona upuuzi kuacha kazi zake na kuja kutazama UCHWARA. Naamini hata Museven na Kenyata baadae walijilaumu kwa kuhudhuria. Jk na Vichwa panzi AMKENI.
 
Nilitarajia show ya kikomandoo na si acrobatic kama walivyofanya.

Mkuu haiwezekani kumuonesha adui mbinu zako ulizonazo kivita,,,yaliyofanyika hapo ni burudani kwa wananchi kwa sababu hayataathiri siri zao
 
Huku kitaani wababe wanapiga push.up mia kwenye kokoto,sasa watashindwaje kuvunja vitofa
 
Ilikua poa,tatizo ni yale matofali kukosa cement na zile mbao za plywood zilizotumika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu jipe moyo tu, tulipeleka watu Sudan, zikaanza kurudi maiti

Uwanja wa vita sio HoneyMoon
Unajua idadi ya askari wa Marekani waliokufa Iraq na Afghanistan hadi sasa? Unaweza ku-google
Unaikumbuka Operation thunder bolt Entebbe iliyofanywa na commandos wa Israel?? Five Israeli commandos were wounded and one, the unit commander,Lt. Col. Yonatan Netanyahu, was killed.
 
Hahahahaha umenifurahisha kiongozi eti uwanja wa vita sio honeymoon
 
Ilikua poa,tatizo ni yale matofali kukosa cement na zile mbao za plywood zilizotumika.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu ile ni Psychological Warfare.Lengo ni kumtisha adui.Kum deter kufanya attack
 
Hasa hasa Uncle Kagame anawachora tu ndo maana akaona upuuzi kuacha kazi zake na kuja kutazama UCHWARA. Naamini hata Museven na Kenyata baadae walijilaumu kwa kuhudhuria. Jk na Vichwa panzi AMKENI.

Kila siku tunaambiwa eti intelijensia yetu ipo vizuri, yaah ipo vizuri kwenye kung'oa watu kucha na meno bila ganzi. Na nadhani ni intelijensia hiyo hiyo ndio iliyomwambiwa mkulu kuwa muungano utalindwa kwa makombora, mabomu na makomandoo wanaoruka na miamvuli kama mbayuwayu halafu wakifika chini wanavunja mawe kwa vichwa. kuishi tz kuona mengi
 
Kuvunja tofali so mazingaumbwe ila inawezekama yakawa so imara kwani wanayatengeneza wao na kuyapa muundo wa tofali za kawaida strength ya tofali ndo inamater.....
 
Mkuu ile ni Psychological Warfare.Lengo ni kumtisha adui.Kum deter kufanya attack

Huyo adui atakuwa ni mjinga sana kama atatishwa kwa zana ambazo hata yeye anaweza kununua tena bora kuliko tulizonunua sisi. Ila hiyo ni endapo tu huyo adui anayekusudiwa ni mataifa mawili matatu ambayo ni machovu kuliko sisi hapa duniani (hata sisi pia ni wachovu). Na kama adui anayekusudiwa ni ukawa basi ilifaa itumike nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu kama vile
 
Kila siku tunaambiwa eti intelijensia yetu ipo vizuri, yaah ipo vizuri kwenye kung'oa watu kucha na meno bila ganzi. Na nadhani ni intelijensia hiyo hiyo ndio iliyomwambiwa mkulu kuwa muungano utalindwa kwa makombora, mabomu na makomandoo wanaoruka na miamvuli kama mbayuwayu halafu wakifika chini wanavunja mawe kwa vichwa. kuishi tz kuona mengi

Kote ulimwenguni, ordinary people knows all the intellligence failure but never the intelligence success. Laiti ungekuwa exposed kujua mafanikio ya intelijensia siku baada ya siku ungeweza kufa kwa kihoro!

Yes, intelijensia ya nchi yetu iko vizuri mno!
 
Huyo adui atakuwa ni mjinga sana kama atatishwa kwa zana ambazo hata yeye anaweza kununua tena bora kuliko tulizonunua sisi.

ooh kumbe zile silaha tulizo ona pale uwanja wa uhuru jana ndio silaha zote tulizo nazo?.
i thought what we saw was a sneak peak of what we've in store!.duu.
 
Nimewapenda wote ni futi 6 au wanakaribia, hakukuwa na andunje pale.
 
ooh kumbe zile silaha tulizo ona pale uwanja wa uhuru jana ndio silaha zote tulizo nazo?.
i thought i was just a sneak peak of what we've in our reserve!.duu.

kwanza nyingi sana waziuze,then pesa tununulie madawati,silaha nyingi za nini wakat maadaui wetu wanasiasa walaf wanatukanana na kupata pesa,wanaoficha pesa nje na wanaojilimbikizia mali,,,,,
 
Back
Top Bottom