LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
i love their bodies
Umeonaeee! Miili ya mazoezi hayo! Muda mwingine nawakubali!
Wangepewa zoezi la kutokomeza mauaji wa tembo nafikiri hilo lingekoma!
i love their bodies
Kote ulimwenguni, ordinary people knows all the intellligence failure but never the intelligence success. Laiti ungekuwa exposed kujua mafanikio ya intelijensia siku baada ya siku ungeweza kufa kwa kihoro!
Yes, intelijensia ya nchi yetu iko vizuri mno!
Umeonaeee! Miili ya mazoezi hayo! Muda mwingine nawakubali!
Wangepewa zoezi la kutokomeza mauaji wa tembo nafikiri hilo lingekoma!
John Kachembeho if so,inakuaje ile ndege ya uarabun tena ya kijesh ikaja na ikaiba twiga????au Kilimanjaro hakuna kambi ya jeshi???
Then mara kadhaa baadhi ya askari wa JWTZ wanahusishwa na ujambaz,,,,,,hili nalo linasababishwa na njaa ya wanajeshi au tabia mbaya za wanajeshi(ambao hawachujwi)?then swali lingine ni,JWTZ inaundwa na kikosi cha majini,je zile meli zinazoiba samak kwenye bahar kuu who is responsible???mfano ni ile meli ya samak wa magufuli,
Mkuu tumia japo akili ya kuzaliwa kidogo,,,hivi wangezikwepa risasi hapo uwanjani unadhani risasi hizo zingeelekea wapi?
Mkuu ile ni Psychological Warfare.Lengo ni kumtisha adui.Kum deter kufanya attack
majeshi yana nguvu ya umma?misri,tunisia hawana majeshi?tungewasifia kama wangekua ni madaktari bingwa na kutibu wagonjwa hasa akina mama waliopo hospitalini sio kuruka ruka tu kama wahuni.shida yetu ni elimu bora na tiba bora.sio vifaru na kuvunja matofaliNguvu gan ya umma unayoiongelea??? Ule msamiati uliopo kwenye mashuka ya chadema au nguvu ya umma unamaanisha watu(binadamu)? Nguvu ya umma iko pamoja na majeshi yake... na ndo maana linaitwa jeshi la wananchi. Tz tunapata sana taab kwa kuendelea kufuga wahamiaji haramu kama nyie... hakunaga jema mkalisifia.
Kwa nini hupendi kuwaona?zamani nilikuwa nawapendaga sana hawa viumbe ila nimekuwa sitaki hata kuwaona
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi
Habari hizo zilikufikiaje?
majeshi yana nguvu ya umma?misri,tunisia hawana majeshi?tungewasifia kama wangekua ni madaktari bingwa na kutibu wagonjwa hasa akina mama waliopo hospitalini sio kuruka ruka tu kama wahuni.shida yetu ni elimu bora na tiba bora.sio vifaru na kuvunja matofali
Acheni utani hawa jamaa.muulizeni Kagame na waasi wa Anjuani wanajua mziki wao.Geshi letu chezea mengine sio JWTZ.Kagame alifahamu vizuri sana labda ngoja aje hapa jamvini awathibitishie
Sizijui zote ila naweza kukutajia operations kadhaa za Navy SEALS - Invasion of Grenada, Panama, Afghanistan, Iraq, kumuua Osama, na kadhalika.
Hii nukuu ni kutoka Wiki:
Sasa makomandoo wa Tanzania zaidi ya kuruka ruka na kuvunja vibao kwenye sherehe wameshashiriki operesheni gani?
wanatishia UKAWA Hao,hakuna kitu mbele ya nguvu ya umma
kwa hiyo kuruka na hizo parachute wanataka tuelewe nini hasa? Kwamba makomandoo wetu wapo fiti sana wanaruka kwa maparachute? Eti wanavunja mawe kwa vichwa, ili kumtisha nani? Hivi kweli waliyoyaonyesha yanatosha kujiridhisha juu ya ubora wao? Dunia ya sasa inaendeshwa kwa sayansi na teknolojia hivyo mbwembwe zote hizo ni kazi bure kama teknolojia ipo chini. sikatai umuhimu wa fitness kwa hawa mabwana ila tusiegemee huko zaid hakuna adui atakaye kuruhusu umsogelee daima atataka kukumaliza ukiwa mbali hivyo unapaswa kujipanga na kumkabiri akiwa mbali hivyo hivyo (teknolojia) wenzetu wana ndege zisizo na ruban ili kuhakikisha wanapambana na adui pasipo kuhatarisha maisha ya askar wao je sisi tuna kipi tunachotengeneza wenyewe? Tumeendeleza kwa kiasi gani yale magar tuliyokuwa tuna tengeneza?(nyumbu) Tuendeleze teknolojia yetu haya mambo ya kuruka na miamvuli kuwafurahisha raia hayana msingi ni sifa za kijinga. Wenzetu wanatuchora tu!
ooh kumbe zile silaha tulizo ona pale uwanja wa uhuru jana ndio ""silaha zote tulizo nazo?"".
i thought i was just a sneak peak of what we've in our reserve!.duu.