mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
You guys sijui mnaponda kitu gani apo..nashindwa kuwaelewa wabongo ambao wanawaponda makomandoo tena wa nchi yao wenyewe, wengine wanaponda eti ooh siku izi inatumika teknolojia...yaan hata kwa akili ya kitoto tu unashidwa kufikiria kuwa ivo ulivyoonyeshwa apo ni kama 1/8 tu ?! kuna taifa gani ------- duniani litakaloonyesha uwezo wake wote wa jeshi??!!! usidhani utaonyeshwa kila kitu weweeee kuna vifaa vingine vya kijeshi kamwe huwezi kuonyeshwa na wala huwezi kujua viko wapi..ILA KWA TAARIFA YAKO,TZ NI NCHI YA 7 DUNIA NZIMA KUWA NA VIFAA VYA JESHI VYA KISASA NA HIGHLY TECHNOLOGY, Usiniulize maswali mengi mana kamwe sitakupa jibu..kwasasa jua ivo.