Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

Wapo makomando wa kike, ila kulingana na nature ya training ni wachache sana wanaofanikisha kufika mwisho wa mafunzo yote. Ukomandoo unahusiana moja kwa moja na jeshi, komando ni mtu/binadamu anayefundishwa kupambana au kushambulia kwa ufanisi wa juu zaidi na kwa muda mfupi zaidi na kwa ghafla zaidi na katika mazingira hatarishi zaidi.
Kulingana na maelezo hayo angalia kama ni muhimu kuwa komando kwa matumizi yako binafsi.

Nashukuru kwa maelezo yako,noted.
 
Mfano kuweka mwili fit,jinsi ya kutumia bastola, sky diving na kadhalika mi napenda tu nijue ila bila kulitumikia jeshi.

Ok anza na matumizi ya mwili wako tu, zipo centre nying za self defense na combat techs! !!!
Matumizi ya bastola anzia na online techs ujue kwanza theory na requirements nyingine kwa mfano google (mark's man) utaona deflections na maana zake!!!!
Sky diving nchi nyingine ni kama recreation tu! !!!!!

Komando ni suala zaid ya hayo juu kwa mfano walinzi wa viongozi wanapiga hayo unayotaka saaaana ila kwa komando wanakaa fasta tu!!!!!
 
Oh sawa nimeelewa,nashukuru
 
!
!
tumeona komando kipensi na komando joni sembuse comando maandazi hawa, kuna mdau kasema pamoja na kushuka na marashuti sijui maparachute walishindwa kuzuia twiga asipande ndege
 
Hongera sana kwa kuandaa kilichobora zaidi! Kweli uzalendo unazaliwa nao! lakini serikali mbili no!
 
Nafikiri umefika muda sasa kuwekeza au kuibua technolojia na mafunzo ya tecnolojia jeshini kama wafanyavyo mataifa ya wenzetu kwa mafanikio makubwa.
 
Nimevutiwa na jibu ulomjibu mwenzio, especially ukizingatia umemwita idiot mwishoni, but funny thing is that wewe umeuliza swali n at the same time umejijibu kwenye sentence yako mwenyewe, halafu ukisoma vizuri comment yake huyo ulomsema na kumwita idiot, it makes more sense na ni fikra inayohitajika hasa kwa sasa if wanauwezo wa kuvunja matofali basi wakalinde rasilimali zetu, na amesuggest, if u read between the line, kwamba vita vya kisasa vimetawaliwa zaidi na tech where as kunja tofali kwako hakutaishusha drone. So, whose an idiot now?

jifunze lugha ndo uje kutukana wenzio humu
 
hivi yeye 'luteni' anaweza hata jogging ya kilomita moja!? Tz kwa maigizo tuko vizuri sana.
 
jifunze lugha ndo uje kutukana wenzio humu

Ningekujibu na kujaribu ku explain ila i realized u r a person not familiar with slangs or txt msg chats, so itakuwa a waste of my time, but as far as the modern time is concerned, there is nthing wrong with tht sentence, secondly naomba usiinite mimi mtusi maana soma comment yangu unieleze wapi nimemtusi mtu?
 
bwana mdogo nasisitiza kajifunze lugha,
 
Back
Top Bottom