Tanzania Commandos show

Tanzania Commandos show

Nilitarajia show ya kikomandoo na si acrobatic kama walivyofanya.
Sasa pale unavyoona kuna msitu,bahari,mto,milima au bomu limelipuka? Yanayoweza kuonyeshwa uwanjani kama pale ni hayo,ila kutana nao kwenye maeneo niliyotaja ungeona mengineyo!
 
Sasa pale unavyoona kuna msitu,bahari,mto,milima au bomu limelipuka? Yanayoweza kuonyeshwa uwanjani kama pale ni hayo,ila kutana nao kwenye maeneo niliyotaja ungeona mengineyo!
Nashukuru kwa kunisaidia kujibu mkuu.....
 
Hii inadhihirisha ukomavu wa jeshi letu imara na dhabiti kabisa hongera sana amiri mkuu na jeshi lote kwa ujumla
 
kama kuruka ruka hivyo hata vilema wanaweza - sikuona cha ajabu hapo
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

Umetutusi sana , tena umetutusi kwa kitu ambacho huna uhakika nacho , chezea kitu kingine lkn sio hao jamaa ! Hayo wanayoyafanya hapo ni machache mno kati ya mengi na ya kutisha.
 
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......

Yeap! Aliyavunja!!
 
Wameshashiriki operesheni gani iliyohitaji umahiri wao?

my late uncle who was a jwtz commando niliwahi kumuuliza swali kama hilo.alinjibu,sio kila ops wanazoshiriki commandos wewe raia wa kawaida uzijue.zingine ni classfied/top secret.zinajulikana within state's security organs.halafu sio kila sehemu wanakotumwa lazima wa-deploy fire/phyisical attack .ops zingine ni stealth based na ni kwa ajili ya intelligence gathering tu.jiulize military operations ambazo USA inafanya sehemu mbalimbali duniani,zote unazifahamu?au ulishawahi sikia zinazungumzwa ktk media?
 
jiulize military operations ambazo USA inafanya sehemu mbalimbali duniani,zote unazifahamu?au ulishawahi sikia zinazungumzwa ktk media?

Sizijui zote ila naweza kukutajia operations kadhaa za Navy SEALS - Invasion of Grenada, Panama, Afghanistan, Iraq, kumuua Osama, na kadhalika.

Hii nukuu ni kutoka Wiki:

On 12 April 2009, in response to a hostage taking incident off of the coast of Somalia by Somalian pirates, three Navy SEALs from DEVGRU simultaneously engaged and killed the three pirates who were closely holding the hostage, Captain Richard Phillips, of the freighter ship, the Maersk Alabama. The pirates and their hostage were being towed in a lifeboat approximately 100 yards behind the USS Bainbridge (DDG-96) when each of the pirates was killed by a respective DEVGRU sniper with a single shot to the head

Sasa makomandoo wa Tanzania zaidi ya kuruka ruka na kuvunja vibao kwenye sherehe wameshashiriki operesheni gani?
 
Huyo jamaa anayevunja kitofa kwa ngumi ukute ndo kakufumania na mke wake
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha sana,eti vichwa panzi hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ntajie basi hizo za makomandoo wa kibongo

sizijui hata moja.mi ni raia tuu wa kawaida kama wewe,refer nilichoambiwa na marehemu uncle wangu ktk previous post hapo juu.ila wenyewe wazee wa vitengo wapo humu wanafatilia mjadala huu.acha nikuitie mmoja wao, gen Moshe Dayan .
 
Last edited by a moderator:
sizijui hata moja.mi ni raia tuu wa kawaida kama wewe,refer nilichoambiwa na marehemu uncle wangu ktk previous post hapo juu.ila wenyewe wazee wa vitengo wapo humu wanafatilia mjadala huu.acha nikuitie mmoja wao, gen Moshe Dayan .

Hawana lolote hao so called makomandoo.
 
Back
Top Bottom