MCHOMEBEDA
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 144
- 43
Mkuu sijakuelewa,wewe unataka itokee vita uwaone au.Mungu ibariki Tanzania na jeshi letuHivi hawa so called makomandoo wetu kazi yao ni kuonyesha show kwenye sherehe tu?
Mkuu sijakuelewa,wewe unataka itokee vita uwaone au.Mungu ibariki Tanzania na jeshi letuHivi hawa so called makomandoo wetu kazi yao ni kuonyesha show kwenye sherehe tu?
Hao Jamaa (Makomandoo) ukiwatuma wakamlete Bw.Kagame Paulo wataweza? Yaani waende waingie Ikulu ya Bw.Paulo Kagame wamchukue wamlete ndani ya TZ bila ya Risasi kupigwa wala mtu kuuliwa!
Yaani hakuna Mwanamke Komandoo? Wala Rubani ,wala Mruka na Mwanvuli? Kila siku kelele- Ohoo haki sawa, Ohoo Viti sawa Bungeni, Ohoo tuolewe na mme mmoja, Ohoo Spika wa Bunge Mwanamke, Ohoo awamu hii tunataka Raisi mwanamke!! Kwa style hii tutawatawala Mpaka mfutike Duniani hamna haki ya kudai usawa kumbe. Kazi zenu kucheza show za FM Academia, kupiga vijana mizinga, kupost picha za uchi (Instalgram, WhatsApp na FB), kulinda nchi hamtaki!!!!
wanatishia UKAWA Hao,hakuna kitu mbele ya nguvu ya umma
zamani nilikuwa nawapendaga sana hawa viumbe ila nimekuwa sitaki hata kuwaona
hayo mambo niya kizamani sana karne ya saivi kwenye war utamkamata nani umpige ngumi wangekua wanamazoezi ukipingwa risasi haingi hapo hata mimi ningewakubali lakini kwakuvunja tofari watasubiri sana, hizo mambo huku kitaa watu wanafanya sana.
yap, hawa ndio makomandoo wetu wote.
kwa hiyo kuruka na hizo parachute wanataka tuelewe nini hasa? Kwamba makomandoo wetu wapo fiti sana wanaruka kwa maparachute? Eti wanavunja mawe kwa vichwa, ili kumtisha nani? Hivi kweli waliyoyaonyesha yanatosha kujiridhisha juu ya ubora wao? Dunia ya sasa inaendeshwa kwa sayansi na teknolojia hivyo mbwembwe zote hizo ni kazi bure kama teknolojia ipo chini. sikatai umuhimu wa fitness kwa hawa mabwana ila tusiegemee huko zaid hakuna adui atakaye kuruhusu umsogelee daima atataka kukumaliza ukiwa mbali hivyo unapaswa kujipanga na kumkabiri akiwa mbali hivyo hivyo (teknolojia) wenzetu wana ndege zisizo na ruban ili kuhakikisha wanapambana na adui pasipo kuhatarisha maisha ya askar wao je sisi tuna kipi tunachotengeneza wenyewe? Tumeendeleza kwa kiasi gani yale magar tuliyokuwa tuna tengeneza?(nyumbu) Tuendeleze teknolojia yetu haya mambo ya kuruka na miamvuli kuwafurahisha raia hayana msingi ni sifa za kijinga. Wenzetu wanatuchora tu!
Wataenda na watarudi na hautakuwa informed!
Mkuu ni safi na imependeza lakini cha kushangaza hao makamando siku ukiwona uswahilini basi huwa analalamika maisha magumu na kazini huwa hapandishiwi cheuo na yupo muda mrefu na walokuja karibuni hupanda cheo na mshahara wa juu
Kagame mwenyewe yeye kama yeye amepata mafunzo yake hapa Tanzania, ni mwanafunzi wetu yule. Usiwe na mashaka hilo linawezekana vizuri tu kukiwa na haja ya kufanya hivyo, kwa sasa hakuna ulazima huo!
teknolojia inasaidia sana tu kukabiliana na adui ila huwezi ku-undermine human use kama vile ilivyo katika intelijensia huwezi kupuuza human intelligence (HUMINT) licha ya mahitaji ya teknolojia ya hali ya juu.
Tusisahau pia pale uwanjani kwenye maonyesho lengo ni kutoa burudani, kuonyesha vitu interesting kufurahisha watu sio kutisha watu kwa kuua mtu pale!
Hawana tofauti na akina kingwendu..waende afghanistan wakaonyeshe huo ukomando..ukomando sio kuvunja matofali...jk bwana hivi unafikiria hivi vitu kweli..acha sanaa ujijengee heshima huu mnaofanya ni upuuzi
!
!
eti makomandoo wanashuka na miamvuli!?......nyambaf
wangetonesha michezo ya kukwepa risasi niwakubali na sio hizi sanaa zao
Labda ktk maonyesho kama yale ww ulitaka waonyeshe nn au wafanye nn labda? Pale wameonyesha ukakamavu wa askar wa tz. Go n ask M23 they wil tel u...
Huyo jamaa anayevunja kitofa kwa ngumi ukute ndo kakufumania na mke wake