udeco

Member
Jul 21, 2023
9
8
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.

Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara.

Asante.
 
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti.Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu .Ukihitaji njoo PM tuongee biashara.
Asante.
Bei gani kwa tani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom