Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,144
- 7,405
Wewe umekufa usituchanganye..!
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?
nilishawahi kudate na mkenya mara nyng. Ni wazur na wanajua kupenda ila hawapend kuchitiwa. Niliachana nae 7bu kuna siku alinifuma nikidate na mkenya mwenzake. Aisee nilichezea kipgo kw huyu mkenya mpaka nikala kona
ni juni 30. Wameanza tangu april24. Mimi nipo nafanya kazi loan board.
Njoo iringa kilolo mi nije mkuranga,temeke,pwani,bagamoyo kisalawe au ilala. Mazngra mazur,vyakula,umeme,maji, lami na mitandao yote inapatkana. Kwa mawasliano piga 0759282829 au 0766216814..
raha 2napata wote. 2kimaliza ananikwida shati eti anataka hela yake.
NINA BED WITH ARTS YA UDOM. Na nina experience ya mwaka mmoja katika ufundishaji history na kiswahili. Natafta kazi dsm. Kwa sasa nipo katika ajira hyo serikali iringa. Email emmanueljohanes355@yahoo.com
acha utani wewe. Demu wng yupo jf lakin mchezo hajui. Nyie ndo wakina warioba na sample zenu batili.
Nipo katavi wilaya ya mpanda idara ya msingi. Kwa yeyote anayetaka kuja huku anakaribishwa. Masharti atokee wilaya ya mbozi, momba rungwe au ileje. Contacts zangu ni 0767589452 au 0759282829.
mzumbe university sio chuo. Ilikuwa zamani. Kama unahtaji masters kaifate udsm. Mzumbe hakuna ki2 pale. Mimi mwenyewe nimesoma udsm masters ila waliosoma mzumbe ni material less.
mi hata wakinipa lak2 napga kaz mana nishasota sana mtaani hata buku kumi nina mwez cjaishka. Nifanyaje ili nipate access bank!? Nina post graduate ya procurement and logstic management ya tia mwaka 2013.
huyu ndiyo evy , uongo mwingi , utapeli , kusambaza namba za simu , jinsia mbili.......
[MENTION]mods[/MENTION] mshughulikieni huyu mtu anatuletea utoto tu humu........
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?
huyu ndiyo evy , uongo mwingi , utapeli , kusambaza namba za simu , jinsia mbili.......
mods mshughulikieni huyu mtu anatuletea utoto tu humu........
cc; Invisible , Evelyn Salt Dinazarde masai dada Vaislay King'asti

Umenitangulia mkuu, huyu ni yuleyule Kwa ID nyingine.
Hiki ni kidume, eti ana masters he he he masters sio makalio kwamba kila mtu anayohuyu ndiyo evy , uongo mwingi , utapeli , kusambaza namba za simu , jinsia mbili.......
mods mshughulikieni huyu mtu anatuletea utoto tu humu........
cc; Invisible , Evelyn Salt Dinazarde masai dada Vaislay King'asti
Hiki ni kidume, eti ana masters he he he masters sio makalio kwamba kila mtu anayo
masters hata kuandika hajui, mara yupo loan board mara mwalimu pyeeeeee
muongo kweli mi nilimwambia anatafuta umaarufu jf akanijib vby kuna post nyingine kasems analipwa lki 4 na20 afu kila sehem yupo
duuuh! Asante mkuu kwa kudadavua hiri nirijambasi kweri
Kazi Nzuri best.
Asipokomea kwenye post hii basi ni sikio la kufa.
Hiki ni kidume, eti ana masters he he he masters sio makalio kwamba kila mtu anayo
masters hata kuandika hajui, mara yupo loan board mara mwalimu pyeeeeee
Hahahaahaa...umeua
madume wa caliber hii wanakuwaga maliberali , wanawake wao wana hasara sana.