Wanawake wa Kikenya

Wanawake wa Kikenya

Hapo mkuu umeniacha hoi!
Kwa hiyo kama usawa ukiisha basi nimekwisha?

Chomoka kabla halijazama,,, mimi yalinikuta... uzungu kwa sana hata baba yako anataka kuongea nae kama mshikaji tu.. mgogoro mdogo wanaukuuza why? kibao... kuhusu uvaaji ndo kabisa .... wao hujivalia tu na ushauri hawataki labda kama utamshauri kuvaa kihovyo... kwa sis maustaz ndo balaa kabisa labda wale wa pwani ya mombasa.... kifupi kaoe mganda wao wananidhamu lakini lakini si akina mwangi.... (anyway sio wote ) pesa mbele baba ake
 
Mmh kenya majanga nina ndugu na rafiki walioa kenya yakawashnda kwanza wao wanataka wawe kichwa na pia wanapenda mambo makubwa tena si waaminifu
 
Tanzanian ladies(not all)r good ukilinganisha na baadhi ya Wakenya.Of course mimi kama Mkenya nimeoa M-Tz napenda haswa mapishi ya Kitanzania.Kenyan women kwenye kupika. . . . .hapana.But they are very arrogant. . . . .kichwa ngumu(jinsi tunavyosema).
 
Listen to ur heart ndugu yangu kuhusu tabia ni mtu mwenyewe sana sana muombe Mungu akupe macho ya roho uone kama anakufaa kua my wife wako gudluck on dat.
 
Kama uko serious ni vizuri kusikiliza maoni usije kulalamika hukuambiwa. Hata hivyo nijuacho ni kuwa pamoja na sifa za jumla ambazo watu hupewa kama ambavyo "Wamakonde" kama wewe Sherrif mnavyoogopwa, kuna tabia ambazo ni za mtu binafsi. Hivyo ukiambiwa Wakenya ni wazuri sana jua si wote, ukiambiwa ni wabaya sana jua si wote. Sasa hatari inabakia moja:

  1. Kumkosa mtu anayekupenda kwa dhati kwa kuwa ulibagua Uislam wake
  2. Kumkosa mtu anayekupenda kwa dhati kwa kuwa ulibagua Uzungu wake
  3. Kumkosa mtu anayekupenda kwa dhati kwa kuwa ulibagua Uchagga wake
  4. Kumkosa mtu anayekupenda kwa dhati kwa kuwa ulibagua Ukenya wake
Akili kichwani. Ila ukitaka kupendwa nawe penda. Tatizo lenu vijana longolongo nyingi na kuendekeza ngono (siumi maneno hapa, full uso wa mbuzi).

Is it only me who's seeing this?....kwanini hamwoni mawaidha first class kama hii?....SMH!
 
Lala la mungu wangu hebu twende chemba mkisiiiii kaa mbali sana, wanaume wao hawairi, halafu wachawi ile mbaya hawajui kupika uwiiiii nitakupa data hapa hadharani noma
Mmmh inaonyesha unayo mengi hebu weka hapa hapa huko chemba wengine si tutakosa sasa
 
nilishawahi kudate na mkenya mara nyng. Ni wazur na wanajua kupenda ila hawapend kuchitiwa. Niliachana nae 7bu kuna siku alinifuma nikidate na mkenya mwenzake. Aisee nilichezea kipgo kw huyu mkenya mpaka nikala kona
 
Mimi nimejaribu ku-date na hawa wanawake wa ki-Kenya aisee ni kazi si mchuzi!!! yaani watata mwanzo-mwisho, kitandani ni wazito mithili ya gunia la misumari, wanapenda pesa kupitiliza. Ukijidai unaoa wanawake wa kikenya jiandae kupata ugonjwa wa PRESHA na uwe na TALAKA karibu
 
Hawajui kupika kwa hiyo jiandae kulishwa SUKUMA WIKI kutwa mara tatu kama dozi hadi ukome!
99% wa wanawake wooote wa kikenya wametahiriwa hivyo jiandae kwa mapenzi butu!
Ni wababaikaji sana na ni maharage ya Mbeya.... hasa akimwona hata rafiki yako ni handsome na anazo fweza unaweza kumegewa kiulainiiiiiiiiii
Wengi wao huku ughaibuni (US) wanawahusudu sana wanaume wa kibongo.
Wengi wao pia ni washamba lakini wanajiona much-know.
Hawajui kupiga pamba kama mademu wa kibongo.
Kama mchangiaji huko juu alivotonya, wanapenda sana ndoa na watu wa makabila yao kwa hiyo kukutosa akipata wa kabila yake kwao sio issue.
Kazi kwako

Yaani umeongea ukweli kabisa, ni washamba na wa nyanya safi, kupika ndio zero. Na wengi wao hawajui mapenzi kabisa wao wapo wapo tu kutafuta pesa.
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.

Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.

Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.

Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.

Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.

Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.

Natanguliza shukran zangu!!



They are beautiful both tabia na sura and are very dedicated katika mapenzi. Yaani wana tofauti kubwa sana na hiki kizazi kipya cha mademu wa kibongo wenye akili ya bongo movie. In short, tulia naye mkuuu, utavuna.....I swear to you.
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.

Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.

Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.

Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.

Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.

Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.

Natanguliza shukran zangu!!

Follow your heart......wengi wana wapaka tope wakenya coz wako na phobia hawajui kuhandle mwanamke aliewazidi may be kielimu and so on.......Ukikutana name barbie imekula kwako ukipata aliefundwa utastarehe......Don't listen to stories follow your heart & take your mind with you.
 
No matter how sexy or hot a Kenyan girl looks, never date one..
No kusameheana.
Kitandani F..
Too much uzungu.
I also think they look down on us Tanzanians...
 
"Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click!"
. Your very own words bro, unataka nini tena? Just go with the flow. Steriotypes tumeziacha analog
 
No matter how sexy or hot a Kenyan girl looks, never date one..
No kusameheana.
Kitandani F..
Too much uzungu.
I also think they look down on us Tanzanians...

alAhahahaaa what are you doing now??? looking down on them! It depends MTU na MTU huezi judge wote coz naamini hujadate wote
 
alAhahahaaa what are you doing now??? looking down on them! It depends MTU na MTU huezi judge wote coz naamini hujadate wote

Most..
I have examples.
However ni baina ya ntu na ntu.
 
Back
Top Bottom