Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

mimi nina BA ya kiswahili hivyo ninao uwezo mkubwa wa kufundisha somo hilo kwa level yoyote.
0757554696
 
1.Walimu wa Geography.
diploma au Graduate.
Mbagala na mbezi kimara.
salary
600,000/= to 650,000/=
2.English
professional Teacherz and non but with an experience.

for six leaverz with English combination.
Muslims to Tabata
Christian to Mbagala

Before 02nd/05/2014.
At magomeni mapipa Dar es salaam.
Online Registration is applied kwa wamikoani tu.
0753-810857.
Pia unaweza wasiliana na branch yetu ya mbeya kwa namba.
0655-586906
 
wakuu heshima yenu,
wife yupo mwanza ila ana cheti gred " A" na alimaliza chuo 2004 na hakufanya kazi ya ualimu serekalini hadi sasa,
anapenda aanze kufundisha embu wakuu nipeni mawazo yenu aanzie wapi?
 
wakuu heshima yenu,
wife yupo mwanza ila ana cheti gred " A" na alimaliza chuo 2004 na hakufanya kazi ya ualimu serekalini hadi sasa,
anapenda aanze kufundisha embu wakuu nipeni mawazo yenu aanzie wapi?



Kamuombee kazi idara ya elimu ya sekondari wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi
 
Mkuu unajisifiiiia unajua kufundisha Ugheghe wakati professionalism huna unajua teachng ethics? Jaman English sio TENSE2, Kuna ESL Approaches &TOEF. Ila kaza buti mkuu, nkushaur uende Dipl/University.
 
Naomba msaada wenu wa ushauri na maelekezo ni nini nifanye,Nimemaliza chuo Motco ngazi ya Diploma ktk fani ya Ualimu ila pasi kuwa na bahati nimefeli somo la Saikolojia kwa miaka 2 mfululizo kila niliporudia.Imenifanya nisipate cheti cha kuhitimu mafunzo ya Diploma na mwisho wake nimeishia kuwepo nyumbani bila kazi.Msaada wenu wa ushauri unahitajika kwangu kwani maisha yanazidi kuwa magumu,kama kuna sehemu inayojulikana kupatikana kwa nafasi ili nifundishe kipindi najipanga naomba niunganishwe.Nawasilisha kwenu kwa hatua na ushauri
 
Jamani,kufundisha part time kwa masomo ya biology na geog. Kwa jijini dsm,nafasi zipo.? Shule iwe tegeta,ubungo,mwenge,kimara,mbezi,magomeni (yaani shule za ndani ya kinondoni au ilala). Level ya elimu,shahada.
 
teachers‘ junction;9392330 said:
1.walimu wa geography.
Diploma au graduate.
Mbagala na mbezi kimara.
Salary
600,000/= to 650,000/=
2.english
professional teacherz and non but with an experience.

For six leaverz with english combination.
Muslims to tabata
christian to mbagala

before 02nd/05/2014.
At magomeni mapipa dar es salaam.
Online registration is applied kwa wamikoani tu.
0753-810857.
Pia unaweza wasiliana na branch yetu ya mbeya kwa namba.
0655-586906

part time imawezekana?
 
Mie nahitaji part time niko mwanza nilikuwa chuo kutokana na mambo ya hapa na pale kiuchumi cjaendelea tena mwaka wa mwisho , HKL advance namba yangu 0756692453
 
Nina diploma ya ualimu masomo kiswahili na kiingereza uzoefu kazini miaka 3, natafuta shule ya private kufundisha mkoa wowote, namba yangu 0762741669
 
ninaweza kufundisha somo la Geography, History, Kiswahili na Civics. ninauzoefu wa miaka miwili ktk taaluma hii. pia ninadegree ya planning. call me 0769109761
 
Walimu wa kufundisha computer nafasi zipo? Kuna mdogo wangu anahitaji!
 
NINA BED WITH ARTS YA UDOM. Na nina experience ya mwaka mmoja katika ufundishaji history na kiswahili. Natafta kazi dsm. Kwa sasa nipo katika ajira hyo serikali iringa. Email emmanueljohanes355@yahoo.com
 
mimi nina diploma ya kiswahili&kiingereza naomba nafasi kufundisha somo la kiswahili mkoa wa Morogoro namba 0762741669
 
Chemistry and Biology.
Biology and Phyisics.

shule ziko kongowe na Tegeta.
salary not less than 600,000/=
kabla ya tarehe 12nd/05/2014.

Grade A teacherz.
shule ziko kimara na mbweni tegeta.
salary 300,000/= to 350,000/=
mwisho 13rd/05/2014.
karibu teacherz junction.
magomeni mapipa kwa usail,interview and re-training.
0753-810857.
pia unaweza usaili na training kwa matawi yetu ya mbeya
0655-586906.
Pia tunatarajia kufungua tawi jipya jijini mwanza.
Teachers junction for Us
 
Chemistry and Biology.
Biology and Phyisics.

shule ziko kongowe na Tegeta.
salary not less than 600,000/=
kabla ya tarehe 12nd/05/2014.

Grade A teacherz.
shule ziko kimara na mbweni tegeta.
salary 300,000/= to 350,000/=
mwisho 13rd/05/2014.
karibu teacherz junction.
magomeni mapipa kwa usail,interview and re-training.
0753-810857.
pia unaweza usaili na training kwa matawi yetu ya mbeya
0655-586906.
Pia tunatarajia kufungua tawi jipya jijini mwanza.
Teachers junction for Us
 
ninaweza kufundisha somo la Geography, History, Kiswahili na Civics. ninauzoefu wa miaka miwili ktk taaluma hii. pia ninadegree ya planning. call me 0769109761

Ualimu ni mpaka usomee kuna skills nyingi sana mtu ambae amesomea ualimu anakuwa nazo.
 
Back
Top Bottom