Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

Mambo ya kutishia kufa afu namfi hata sio ishu mnaharibu ramani za watu
watu washajipanga kufanya biashara msibani
cc Dinazarde na masai dada
dili ishakuwa dirisha kumbe marehemu hajafa bana

Hahhhhaaahhhhhhaaaa yaan nimecheka mimii duuuuu kwa hiyo tumekosa helaa eti lol maisha magumu sanaaa lol
 
Last edited by a moderator:
Hahhhhaaahhhhhhaaaa yaan nimecheka mimii duuuuu kwa hiyo tumekosa helaa eti lol maisha magumu sanaaa lol
masai dada alikuwa kishanambia nimuwekee kantangaze pisi 6
biashara ndo basi tena huyu naeeee si ajiue tu mi niingize hela
 
Last edited by a moderator:
masai dada alikuwa kishanambia nimuwekee kantangaze pisi 6
biashara ndo basi tena huyu naeeee si ajiue tu mi niingize hela

Bas tusubiri mwinginee yaan mi nataka nianze biashara ya kuuza majenezaa bwana hizo katangazee nawaachia nyiee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom