==> UKIWA MA.LAYA na unauza papuchi kwa sana...huwezi jificha, huyu ni chronic prostitute...na muongo balaaa...
Hivi mods wako wapi????
Labda msibani...
Soon id yake nyingine itajulikana tu...
Omba Mungu akunyime UTAJIRRI lakini akupe HEKIMA na BUSARA...
sasa nakubaliana na wewe Vaislay
Labda msibani...
Hahahahaha umenifanya nicheke kwa nguvu jamani
Khaaa... Anatuchosha hapa bure!!!
Make wapo kimya, wakati sisi tunasubiri mazingaombwe yatokee 2 iwe 1....
Hivi mods wako wapi????
Natamani kusema kitu hapa..Kaanzisha thread nyingine eti ID yake inachafuliwa
Sijui anachafuliwa kwa kipi....Kaanzisha thread nyingine eti ID yake inachafuliwa
Natamani kusema kitu hapa..
Sijui anachafuliwa kwa kipi....
nunua gari yako ili ukae peke yako!
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?