King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Nnayo adabu, sema tu nna adabu chafu.
king'asti huna adabu.
king'asti huna adabu.
hata mi nashangaaa kafufuka labda
kinga'st utakuw na mental prblm
Evz wewe ndio huna adabu na viposti vyako!Jana kuna mtu kaweka thread kuwa umekufa baada ya kunywa sumu kama ulivyodhamiria!Wakati huo huo ulikuwa na thread yako ya kutaka kuchepuka,tukueleweje wewe?Be serious bwana,au unatafuta umaarufu JF?Hizo post zenu za kutunga muwe mnapeleka jukwaa la jokes,,huna adabu Evzking'asti huna adabu.
we unajiona mzima?!.na adabu yako unaiona nzuri? unajua kabla hujafanya kitu embu kitafakari kwanza,.una umri gan wewe kama mtoto?!.kichwan pia na wasiwasi huwez ukawa mzima?!.bata maji weeh
king'asti huna adabu.
Nnayo adabu, sema tu nna adabu chafu.
kinga'st utakuw na mental prblm
King'asti achana naye huyo,sio mzima!!But im on medication. You need professional help hun. Hata kabla sijaanza matibabu sikuwa na hali mbaya kama yako. R.I.P