TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Mashost wamevamia jf kwa nguvu....
Tena wamevamia kwa kasi kubwa mno
Mashost wamevamia jf kwa nguvu....
Soon id yake nyingine itajulikana tu...
Inaweza kuwa make hakutokea kujibu kama kafa au vipi ha ha haMi nahisi ni ile aliyofungulia Uzi Jana. Hiyo inamuhusu pia
Soon id yake nyingine itajulikana tu...
huyu ndiyo evy , uongo mwingi , utapeli , kusambaza namba za simu , jinsia mbili.......
mods mshughulikieni huyu mtu anatuletea utoto tu humu........
cc; Invisible , Evelyn Salt Dinazarde masai dada Vaislay King'asti
Ndo maana huwa siisumbui akili yangu hapa...wajulikane ili kuchotana akili humu kupungue.
miss chagga unasema ampee......?Usipokee simu yake ... option nyingine ni kumpa mchezo apunguze kiherehere loh
miss chagga unasema ampee......?
Honey Faith. Shost kumbe jf napo kuna umaarufu. Nlikuw thjui mie. Kutafta umaarf kwa wa2 ucowajua? Ptuuu.[/QUOTE said:Evz acha huu mchezo wa kipuuzi!Id zote hizo za nini?Una jinsia ngapi wewe?Umesoma vyuo vingapi wewe?Mara unafanyakazi Dar mara uko Iringa mara umekufa,,p.u.m.ba.vu!
Honey Faith. Shost kumbe jf napo kuna umaarufu. Nlikuw thjui mie. Kutafta umaarf kwa wa2 ucowajua? Ptuuu.[/QUOTE said:Kinachokufanya ubadilishe ID kila siku ni nini kwa story za uongo ni nini?Na ulimpa mwenyewe number so tafuta na mbinu zakumuepuka otherwise siku nyingine kabla haujatoa number utushirikishe kwanza
Kamata mwizi meen....sijui watu wengine huwa wanawaza nini aisee