Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

mzumbe university sio chuo. Ilikuwa zamani. Kama unahtaji masters kaifate udsm. Mzumbe hakuna ki2 pale. Mimi mwenyewe nimesoma udsm masters ila waliosoma mzumbe ni material less.
 
Ofisini tuna dada mmoja eti kamaliza Masters yake Mzumbe mwaka Jana niliishia kucheka tu! Jamani Hii degree sio ya mchezo mchezo hivyo, she is so empty headed hata kwenye reasoning capacity yake. Inakera hadi Natamani nimtaje kwa jina.....nikikumbuka nilivyo struggle halafu Hahahahaaaaa
 
Kwa sasa udsm is leading. Masters za udsm ni lazima mtu afanye research ya maana sana bt hapo kwa hicho chuo chenu watu wanafanyiwa tu research mtaani humu

you graduated at udsm? if no, where? we need you demonstrate your profession from 'your' best university at least to show the impact. otherwise, there must be a problem somewhere related to conclusion on 'worse' and 'quality' universities within....
 
mzumbe university sio chuo. Ilikuwa zamani. Kama unahtaji masters kaifate udsm. Mzumbe hakuna ki2 pale. Mimi mwenyewe nimesoma udsm masters ila waliosoma mzumbe ni material less.

wabongo bana.....too wordy!
 
ofisini tuna dada mmoja eti kamaliza masters yake mzumbe mwaka jana niliishia kucheka tu! Jamani hii degree sio ya mchezo mchezo hivyo, she is so empty headed hata kwenye reasoning capacity yake. Inakera hadi natamani nimtaje kwa jina.....nikikumbuka nilivyo struggle halafu hahahahaaaaa

kuna moja chuo kikuu alingia senate kama acting secretary alionyesha udhaifu mkubwa mpaka akasaidiwa hata kutake note ilikuwa ni tabu sana, sijui hata comm. Skills wanasoma
 
Back
Top Bottom