PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
Watakwambia ana create attention ,ana puma upepo ili kuua attention ya maanadamno ndo majibu tuliyopewa


Na msiba utaongozwa na vice!
 
DR.SAMIA SULUHU HASSAN chapa kazi kisawasawa mama,
We are proud over you and we are always praying for you.

makhulukhutabi yanahaha na porojo za patapote :pedroP:
Do limeludi hili pia lichawa, jf mnajua cha kufanya ikiwapendeza.

Haya ndo yamelifikisha Taifa hapa tulipo , pumbavu kabisa
 
Nyie wapumbavu na Matahira tulieni.
Si mlisema amekufa endeleeni kufanya sherehe za kushangilia kifo chake. Mkimaliza ingizeni pua zenu barabarani tuzikate ndipo mtajuta kuwa yuko hai
Sasa Mama watoto mtarajiwa 9 December, nimeifanya kikamilifu, naomba niambie mahali wazee wanataka kiasi gani, pili uwe tiyari kuacha kazi za kilaana ,thanks
 
Tangia nimepoteza vijana wangu, natamani sasa hanza kunywa wine ,naombeni mnisaidie ipi inaweza nifaa, sijawahi tumia kileo chochote , ila nipo upweke sana, na kipindi hiki nimejua mke bora ni nguzo ya familia ,maana bila uyu mama ,mke wangu nafikili mpaka mda huu ningelisha zikwa , matumaini anayonipa uyu mama (mke wangu) Mungu amwongezee maisha 9D nilipeleka pembeni mwa mji lakini alirudi na kuniambi ,tumefiwa vijana wetu, hacha kama kufa tufe wote , kwani ukifa na kuniacha naishi vipi, nimemshangaa sana uyu mama angu (mke wangu)
Una mke mzuri, mtunze.
 
eti?
nyie malofa wa kifikra,
mbona dec.9, mmewagomea useless activists kwa kutojitokeza kwenye maandamano haramu ili muwe wa kwanza kua posted mitandoni mkiwa mmekufa au kuumizwa?

au hamuipendi tena hiyo zawadi? :NoGodNo:
Hizo silaha ndio zinawatia kiburi kumbe sasa endeleeni kuomba Mungu hizo silaha wasishike wananchi maana tutawapukutisha kama changalawe
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
Fanya hivi...jitayarishe kisaikolojia na habari mbaya ili hata ikija habari nzuri moyo wako ufurahi....sasa hapo kwenye habari mbaya au nzuri utajua mwenyewe uweke habari ya aina gani
 
Churu kiziwi huonekani mtoni wa nchi kavu ukowapi
Tumemisi kelele zako japo kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
Dead
 
Kaka huwezi kunizidi mie.Yani nikiona msura wake tu siku yangu nzima imeharibika na naomba Mungu kila siku afanye jambo
Mungu angekuwa anafanya kazi kwa mawazo yako basi hata ww usingekuwa duniani maana hata ww ni mchafu tu kama samia sema mnatofautiana aina ya dhambi mlizo zifanya.
 
Spinning ndivyo hufanywa hivyo ndugu, kwa mizania ya 60/40 Ili wengi wabaki na maswali mengi kuliko majibu! Hiyo ndiyo Spinning

Hakuna Spinning ya nyuzi 360! Hiyo haipo duniani kote! Hiyo inakuwa sio Spinning!.
Mzee hakuna spinning inayoweza kuzima mauaji?
Kifo sio kitu kidogo.
Ati ufiwe na ndogo wako au mwanao halafu ufanyiwe spinning kwa kuficha muuaji?
Haiko hivyo. Labda watu warogwe.
Tunaelekea miezi miwili sasa, bado watu wanapeleka moto na mauaji yanaonekana kama ni jana.
Tazama hata msiba wa Geni. Comments zinaonyesha watu wana hasira sana na serikali

Mambo mengi yamesimama, hata vibe la christmas halipo kabisa mwaka huu. Mji wa Dar. Watu wanaonekana wana trauma kali sana Tazama hata sura zao

Mama angewajibika, kidogo nchi ingetulia
 
Mauaji ya Halaiki yangekuwa yanasahaulika kwa staili hii, maisha ya madikteka yangekuwa simpo sana. Ua maelfu halafu jifiche watasahau...
Mtu kama IDD amini anakumbukwa mauaji take kuliko hata father of the nation wa Uganda Mr Obote

Watu kama Hitler hadi leo mauaji yake yanakumbukwa
 
mama ni makini na anachapa kazi huu sio muda wa porojo wanachadema shitukeni dunia imeshahama huko ndugu zangu
 
Mungu angekuwa anafanya kazi kwa mawazo yako basi hata ww usingekuwa duniani maana hata ww ni mchafu tu kama samia sema mnatofautiana aina ya dhambi mlizo zifanya.
Uchafu gani unazidi kuua maelfu ya Watanzania?
 
Back
Top Bottom