The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,707
- Thread starter
- #21
Hee. Usiwe na shaka atakufa tu.Natamani afe
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe