Hao viongozi wako unaowaita wenye akili timamu, ndio wameifungia Jamii Forums hadi leo tunapata shida kuaccess mpaka tutumie VPNHoja za kipumbavu Kama hizi ndo zinafanya jamii forum ionekane ya hovyo
Weka picha kwenye screensaver utamuona kila wakatiKichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Bora aji keep busy! Maana alikaa idle na kutafakari yaliyotukia kwa amri zake alizozitoa,ndio anazidi kujimaliza kwa blood pressure na ugojwa wa moyo+ laana.Alibolonga na kuchafua hali ya hewa, ameamua ajifiche kwanza upepo utulie.
Sasa jamii forum ni yakulilia🤣Hao viongozi wako unaowaita wenye akili timamu, ndio wameifungia Jamii Forums hadi leo tunapata shida kuaccess mpaka tutumie VPN
29 Oktoba itabidi tuifanye siku ya kitaifa, kukumbuka usaliti tuliofanyiwa na wanasiasa, baada ya wao kupeleka familia zao hotelini kisha kutuuza sisi raia kwa wanajeshi wa uganda na askari kanzu watuue, hali wakijua ukweli kwamba raia hatuna silaha kama askari na walikuwa hawachagui wakuua.Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Ni kawaida watu wema kuuchukia uovu nakumchuki mtenda maovu ya kutisha mauaji. Hakun mtu mwema anayeweza kumpenda muuaji.Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
huwezi nizidi mimi chiefYani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Mama ana watoto na wajukuu ,binafsi simwombei kifo ,ila namwombea ajiuzuruAkivuka tarehe 17 Machi 2026 basi hao waganga wake ni noma...atakuwa Chuma cha Pua kweli kweli
Kikchwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?
Yuko wapi Samia?
Nyie wapumbavu na Matahira tulieni.
Si mlisema amekufa endeleeni kufanya sherehe za kushangilia kifo chake. Mkimaliza ingizeni pua zenu barabarani tuzikate ndipo mtajuta kuwa yuko hai
Kuna wapumbavu walimkatisha kwakuamzisha li wimbo ilibidi wamwachie aropoke yoteIle hotuba ya siku Ile alipanick akaharibu hivyo itakuwa wamemshauri atulie kwanza asionekane public ili hasira za watu zipungue kwanza
Haihitaji akili kubwa..Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Michezo tu hiyo yupo mzima wa afya.Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Hiyo kalenda inahusianishwa na nini, maana hata Magu naye ni Trh 17/3!Akivuka tarehe 17 Machi 2026 basi hao waganga wake ni noma...atakuwa Chuma cha Pua kweli kweli
Sasa unamchukia samia kwa kilicho tokea October 29 kwani yete ndo aliye watuma muende kuiba mali za watu,mchome mali za watu,mharibu miundo mbinu ya raia kwa kisingizio cha masndamano?Nakuwaje mdini wakati nilimpenda sana Samia alipoingia madarakani mwaka 2021? Nakuwaje mdini wakati Majaliwa namkubali sana, mbona na yeye muislamu?
Nakuwaje mdini wakati baba yangu Mkristo ila mama yangu muislamu. Nakuwaje mdini wakati hata best friend wangu ni muislamu. Ndugu zangu upande wa mama ni waislamu karibu wote, na ni watu wazuri sana. Yani nimchukie mtu kisa dini kwani sina akili au? Kwa taarifa yako, nina marafiki wahindi na wanaabudu sanamu, naishi nao fresh tu. Udini peleka huko
Namchukia sana Samia especially after October 29, unapaswa kukubali tu sio kila kitu kinahusiana na dini. Point dhaifu sana ya kumtetea Rais kilaza. Eti tunamchukia kisa dini, pumbavu sana. Mwambieni mama yenu sio kila mtu ni kilaza kama yeye na hao masheikh wake. Tanzania bara haina udini
DR.SAMIA SULUHU HASSAN chapa kazi kisawasawa mama,Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
